Si Kweli maana mhusika alikwishafukiwa chato kama alivyodai Erythrocyte 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni tena chai Ikulu...Kumekucha tena
Pole nyingi kwake!!!Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujiyolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Kimara kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Hao hao unao wazungumzia hapa.Wakina nani hao
Kwangu ukishakuwa chawa wa mtu yeyote nakuweka kundi moja na wapuuzi wengne ndio mana wao wote nawafananisha mana wote ni walamba mataco kwa watu waoErythrocyte usimfanananishe na huyo mbubujikwa machozi Mwamala unaposoma.
Wakitoka hapo na vibahasha vilivotumwa kwenye akaunti zao wanakuwa wapole wanasubiri mpaka ladha ya chai iishe mdomoni na pesa kuisha ndio waanze kupiga kelele tena.Karibuni tena chai Ikulu...
Hawajamnanii kweli
Maisha ya mbongo kweli yana thamani ndogo sanaHospitali zetu unaweza kumfikisha wakakataa kumtibu mpaka awe na PF3
Kuna jamaa yetu alishavamiwa akachomwabna visu tumekimbia police haraka kupitia pf3 hapo tumepanic balaa akatoka askari ile tunamwambia tuandike haraka jamaa linajibu "huyo mbona bado mpya, hata hajapigwa sana, Kuna watu wanaletwa hapa wamechakaa" 😃
Tangu enzi za Nyerere kulikuwa pamekucha ila kwenu nyie Chadema kumeanza kukucha wakati wa JPM mana alikataa upuuzi wenuKumekucha tena
Anasema yote ila hii hawezi kusema 😂 na kujifanya mgumu vile lkn watu wakashika calio lake 😂Mdude inasemekana alikutwa na vitu vyeupe makalioni
Wahuni tu kama wahuni wengine🚶♂️🚶♂️hii inji akili kumkichwaWakitoka hapo na vibahasha vilivotumwa kwenye akaunti zao wanakuwa wapole wanasubiri mpaka ladha ya chai iishe mdomoni na pesa kuisha ndio waanze kupiga kelele tena.
C tulikubaliana n JPM ndio shetani, vp tena mkuu mbona unakiuka makubaliano? 😂CCM ni ile ile na ushetani wake ni uleule
Wewe shabikia ujinga wa watu wako wanavyowafanya Watz wenzako....Mdude inasemekana alikutwa na vitu vyeupe makalioni
Umemuona wapi? Acha urongo, wee ukiona hiyo miguu imevimba?Kumbe ndiye huyu?
Daa kapigwa sana aseee!.
Kwani JPM alikuwa TLPC tulikubaliana n JPM ndio shetani, vp tena mkuu mbona unakiuka makubaliano? 😂
Ngoja wakae kikao na wapuuzi wenzake waje na kauli mpyaSi Kweli maana mhusika alikwishafukiwa chato kama alivyodai Erythrocyte 🤔
Nyie mlikuwa mnamsema JPM na sio ccm. Vp mmeanza kubadili kauli baada ya chai ya Ikulu na vibahasha kuisha?Kwani JPM alikuwa TLP