Miss Evelyn, Natafuta SaltLeo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho
Natongozwa mbele yako unacheka? Seriously???[emoji3][emoji3]
Tatizo umeubali mbele yakeNatongozwa mbele yako unacheka? Seriously???