Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Weka picha zao kwnz
FB_IMG_1500113605032.jpeg

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho
Patachimbika

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshindi ntampa zawadi. Kinyang`anyiro kikisha niitieni nitoe award.
 
salt yupo juu miss natafuta ni kibonge mwepesi

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
ila pini lao ni mahondaw

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho
Wengine hatuwajui jem tuwa one kwanza
 
Waoneshe picha apa sitoi kura yangu bure bure

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Ninachompendea @Eveln salt yuko open sana kwenye mambo mengi, hapretend, kama ni nyeusi ni nyeusi tu! Zaidi anajiachiaga na story za mambo yenu yalee... "I love @Eveln Salt"

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ss mnauliza kuhusu uzuri wao toka juu hadi chini wakati watu wenyew hatuwaoni, au mnauliza uzuri wa majina yao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom