Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Hahahahaha, mwambie huyo.Ndio..sasa kumbe unaniona navyojishebedua kila siku kwanini humwagi sifa? Vibaya hivoo..
Mkuu usiwe mchoyo kumwaga sifa bana.
Ukiona hayo majina ni kitu gani kinakuijia kichwan juu ya ukali wao, yup mkali zaidi?
"Do not compete with any one, do the best to become the best"