Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Leo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho
weka picha zao halisi kwanza tujue huo Upini umeupimaje...
 
Bila hata kioo najikubali. Ujue inaweza pita miaka kumi hakuna aliyekusifia. So ukisifiwa shukuru
Kwahiyo siku zote hizo unapita hapa nakuona mzigo unacheza vzr namna hiyo...ulikuwa hujasifiwa siku nyng?!
 
Kwahiyo siku zote hizo unapita hapa nakuona mzigo unacheza vzr namna hiyo...ulikuwa hujasifiwa siku nyng?!
Ndio..sasa kumbe unaniona navyojishebedua kila siku kwanini humwagi sifa? Vibaya hivoo..
 
Amkubali rubii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom