Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Umesahau pm uliniambia nn?nhh...nani huyo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau pm uliniambia nn?nhh...nani huyo??
we ntilie kitumbua changu michanga tuu..Umesahau pm uliniambia nn?
Kikiwa na mchanga ndio kinanoga kinakuwa kama msasa mbaowe ntilie kitumbua changu michanga tuu..
namaanisha usiniharibie riziki yangu wewe..heb anka ukapige mswaki kwanza.mfyuu!Kikiwa na mchanga ndio kinanoga kinakuwa kama msasa mbao
Ridhiki yako kwa nani?!namaanisha usiniharibie riziki yangu wewe..heb anka ukapige mswaki kwanza.mfyuu!
Hahaaaa. Mbavu zangu mieee.Shougaaa sio kwa kunitenga hukooo...
HahahaHahaaaa. Mbavu zangu mieee.
Nakusalimia my wi.
emmyta ujue umenichekesha. Ulikuwa wapi wewe jana???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ujue kila unachoandika mi mwenzio huku sina mbavu lol
Nakukuita kote huko bado unasema nakutenga, mrs T, mbona unanionea lakini.??Shougaaa sio kwa kunitenga hukooo...
Ha ha ha ha ha, sasa mods na wao unadhani hawapendi udaku??Halafu mods wametulia tu![emoji32][emoji32][emoji32]
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha ha ha, sasa mods na wao unadhani hawapendi udaku??
Shoga wewee ndoa nimerud kumbe kulinoga eeKhe! unaniachaje achaje nawewe?!
Aisee unanidanganya. Unajua siko tayar kuachika shem?sante shemela, si unajua ukishakaa sana nchi za watu ata ukinipiga kadenda sio big issue kivile. hahaha
Hata kunipigia simu jamaani.... We utaitaje taratibu hivyo bhanaNakukuita kote huko bado unasema nakutenga, mrs T, mbona unanionea lakini.??
Mods wanajua nyuzi za kufunga na kufuta....Ha ha ha ha ha, sasa mods na wao unadhani hawapendi udaku??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenivunja mbavu zangu mbili ujue.Hata wanawazazi?! wapo kama bangi wanajiotea tu kokote