Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahhaha tufanyeje sasa mdakachozi hakuna kuhesabuHahaha hahaha hahaha
Nawaonaa mnavyofarijiana jamanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha tufanyeje sasa mdakachozi hakuna kuhesabuHahaha hahaha hahaha
Nawaonaa mnavyofarijiana jamanii
Akunywe beer aache kujitesa bwanaHahaha hahaha hahaha
Unasema aje aki
Mjeda wangu jamani [emoji847][emoji847]Woyooooooo
Kwa kweli nilikua natafuta mtu wa kunitia moyo,nashukuru sanaEbu kunywa bwana mdakachozi acha kujitesa
Usimdanganye mdaka chozi bana!Akunywe beer aache kujitesa bwana
Anaonekana ni mtaalamu kwenye hayo mamboHahahhha mbona mtaalamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli nilikua natafuta mtu wa kunitia moyo,nashukuru sana
Mie nafuata mkumbo tuuAnaonekana ni mtaalamu kwenye hayo mambo
Ni wivu tuuMguu umekomaa kama wa dume la nyani
Mtaalamu wangu tuko pamoja,nitahakikisha nahesabuMuone kwanza
Kama kweli vileMjeda wangu jamani [emoji847][emoji847]
Tukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Nyie mtakuwa mnazunguka nyumba mnasema mmekimbiaHahahhaha tufanyeje sasa mdakachozi hakuna kuhesabu
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiumwa naomba umfate humu akupe pole
Hongera sana Mkuu!Nakupongeza sana,
Katika vitu ambavyo vimenisaidia ku-reduce weight ni kukimbia, nilianza kukimbia tarehe 12 January 2019 kwa kwenda 1.5 Km mdogo mdogo hadi kwa sasa nakwenda hadi 10km.
Kiukweli naona nioo sawa sn ht kiafya, mfano mdogo tu ni kwamba nimepunguza 12kg.
Lkn pamoja na hayo km mtu una nia ya dhati ya kupunguza uzito no vema ukapunguza sana matumizi ya vyakula vya wanga na matumizi ya sukari hv ni vitu hatari ktk kuongeza uzito, nimefanya hvyo na ndio maana nimefanikiwa kupungua kwa 12Kg.
Nawahamasisha wanajukwaa wenzangu tufanye mazoezi kwa afya!!
View attachment 1128383
Hakuna kuhesabu,ni mbioo tuHahahhaha tufanyeje sasa mdakachozi hakuna kuhesabu
Wewe upo vizuri pasua kichwaMie nafuata mkumbo tuu
EwaaaaaMtaalamu wangu tuko pamoja,nitahakikisha nahesabu
Hahaha hahaha hahahaHahahahaha
Lazima nikukimbile Doctor wangu,ushauri wako huwa unasaidia sana!