Saturday Morning Run

Saturday Morning Run

Hongera sana dear!
Mie huwa natamani sana, sema kibarua chanibana sana!

Kumbe ulikuwa kili Marathon?! Mbona hatujatafutana dear! Mwenyewe nilikuwa 21km
Mwakani tutakutana inshallah..
 
Nakupongeza sana,
Katika vitu ambavyo vimenisaidia ku-reduce weight ni kukimbia, nilianza kukimbia tarehe 12 January 2019 kwa kwenda 1.5 Km mdogo mdogo hadi kwa sasa nakwenda hadi 10km.

Kiukweli naona nioo sawa sn ht kiafya, mfano mdogo tu ni kwamba nimepunguza 12kg.

Lkn pamoja na hayo km mtu una nia ya dhati ya kupunguza uzito no vema ukapunguza sana matumizi ya vyakula vya wanga na matumizi ya sukari hv ni vitu hatari ktk kuongeza uzito, nimefanya hvyo na ndio maana nimefanikiwa kupungua kwa 12Kg.

Nawahamasisha wanajukwaa wenzangu tufanye mazoezi kwa afya!!
View attachment 1128383
Hongera sana. Mimi uzito haupungui ila nguo zinakua kubwa siku hadi siku. Hata kiafya najisikia mwepesi kwa kweli tofauti na mwanzoni.
Wanga kuacha kwangu bado ni changamoto sema nimejiwekea ratiba ya kula mara moja kwa siku.
Ni uvivu tu sema mazoezi yanasaidia sana
 
Kwa kweli mazoezi yana manufaa sana, hata ukilala u feel comfortable No kukoroma kama duduwasha, hata kwenye g@m€ you do it better, full pumzi fully minyoosho hakuna fastafasta!!
 
Back
Top Bottom