Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nataka kuwa peke yangu mm[emoji4][emoji4]nitakupandisha cheo big wife
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kuwa peke yangu mm[emoji4][emoji4]nitakupandisha cheo big wife
Hongera sana. Mimi uzito haupungui ila nguo zinakua kubwa siku hadi siku. Hata kiafya najisikia mwepesi kwa kweli tofauti na mwanzoni.
Wanga kuacha kwangu bado ni changamoto sema nimejiwekea ratiba ya kula mara moja kwa siku.
Ni uvivu tu sema mazoezi yanasaidia sana
Dudu la yuyu ni kitu gani dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijisifii sema nina mguu mzuri mkuu. Hapo sijui kwanini mmeuona kama dudu la yuyu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku ndio kupendwa mama
Haya ndio mambo yakuongea sasa haya tuhamie piemNitumie nauli we mbaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaolewa na afande? Atazeeka mapema kwa vipigo
Akimbilie huku
Shemasi gani huyo jamani we mbabaShemasi anajua kuhusu hili?
HahahahahaMdakachozi mm sio doctor jamani
Nakuja we mbabaHaya ndio mambo yakuongea sasa haya tuhamie piem
Kugusanisha vikojoleo ni matendo ya imaniHahahah
Mume ww unayetaka kugusanisha nn sijui hutoki kwa Bwana
Hahaha hapana jamaniKugusanisha vikojoleo ni matendo ya imani
Nakuja we mbaba
Huu mguu ni wa me or keTukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Kwa ninavyoona hiyo map atakuwa anatumia strava check kwa play store!!Unatumia Apps gan ya kujua time
Nakuja jamani ebu endelea kusubili kama tunavyomsubili YesuHuko piem hadi mwendokasi? Mboni sioni kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ke mfyuuuu
KapwilHuu mguu ni wa me or ke