Saturday Morning Run

Saturday Morning Run

Sio rahisi kuacha wali maharage [emoji3]
Hongera sana. Mimi uzito haupungui ila nguo zinakua kubwa siku hadi siku. Hata kiafya najisikia mwepesi kwa kweli tofauti na mwanzoni.
Wanga kuacha kwangu bado ni changamoto sema nimejiwekea ratiba ya kula mara moja kwa siku.
Ni uvivu tu sema mazoezi yanasaidia sana
 
Back
Top Bottom