Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Huwa anaenda Mkuu
HahahahahaWeeeeh doctor wa nn nitamuweza wapi mm mdakachozi
Na mume bora hutoka kwa Bwana ila sio we mbaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa wowowo lipi
[emoji4][emoji4]nitakupandisha cheo big wifeSitaki mm mambo ya mitala
Huku ndio kupendwa mamaHuyu mbaba bwana ananishangaza mm
Una mguu mzuriNdio kaka..
Unatumia Apps gan ya kujua timeTukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Kaolewa na afande? Atazeeka mapema kwa vipigoSema ukweli jamanii muke ya afande
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijisifii sema nina mguu mzuri mkuu. Hapo sijui kwanini mmeuona kama dudu la yuyu
Shemasi anajua kuhusu hili?Sanaaa kama zinavyoshuka sasa hiviView attachment 1128378
Mdakachozi mm sio doctor jamaniHahahahaha
Kumbe na yeye ni Doctor mzuri?
Nitumie nauli we mbabaNitampataje?
haaa Demiss nimehis mwenzako anakunywa hiyo ya kwenye box la azam.na wewe unakunywa hizo hard liquorNgoja nimalize kudanga nakujaaa mamyView attachment 1127827
Hahahah naogopa mm mambo za doctor mdakachoziHahahahaha
Mbona umeshtuka hivyo Shunie?ni doctor tu wa kutibu hangover
Ndo nini hiyo kaka?
HahahahHuu ubaguzi Mungu hapendi