Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha
Huwa sihesabu mi nakimbia tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha
Huwa sihesabu mi nakimbia tu!
Sema ukweli jamanii muke ya afandeHahahhaha huwa nafurahi sana ukifurahi kivuruge wangu
Nitajitahidi kufanya hivyo pasua kichwa,maana huwa nakimbia parefu sana mpaka naona haina haja ya kuhebu tenaUwe unahesabu sasa, tujue unakimbia km ngapi! Si ajabu ni mbili
Na Heineken zinashuka vizuri lakini ukimaliza kukimbia?Asante mdaka chozi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitajitahidi kufanya hivyo pasua kichwa,maana huwa nakimbia parefu sana mpaka naona haina haja ya kuhebu tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm apa jamani muke ya afande mjedaSema ukweli jamanii muke ya afande
Hahahaa mdaka chozi ujue ww ni chiziNitajitahidi kufanya hivyo pasua kichwa,maana huwa nakimbia parefu sana mpaka naona haina haja ya kuhebu tena
Nakukubali basi tuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm apa jamani muke ya afande mjeda
Ni chizi sio kidogo akiHahahaa mdaka chozi ujue ww ni chizi
Sanaaa kama zinavyoshuka sasa hiviNa Heineken zinashuka vizuri lakini ukimaliza kukimbia?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio mzima kabisaaa aki pasua kichwa!
Hahhahah hunishindi mm kivuruge wangu nikinywa maji nakuona kwa glass babeNakukubali basi tuu!
Hujaenda lindo etiSanaaa kama zinavyoshuka sasa hiviView attachment 1128378
Hahahhahhaha na kweli cha muhimu kukimbiaHahahahaha
Cha msingi ni kukimbia tu pasua kichwa
Muhimu ni kukimbia tu Shunie kuhesabu km hizo mbwembweHahahaa mdaka chozi ujue ww ni chizi
Na ujue umekimbia umbali ganiHahahahaha
Cha msingi ni kukimbia tu pasua kichwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimerudi jioni jamani kesho naingia jioni sasa kuwa mlinziHujaenda lindo eti
Mbona tunatamanishana hivyo wakati nilijipa likizo kidogo ya vyombo,majaribu hayaa kabisa!Sanaaa kama zinavyoshuka sasa hiviView attachment 1128378
Yaani sijui kama unakumbia km 2Muhimu ni kukimbia tu Shunie kuhesabu km hizo mbwembwe
Sawa sawa mtaalamuNa ujue umekimbia umbali gani