Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Iran kwa sasa ipo tepetepe, inachofanya sasa hivi ni kurusha makombora hovyo hovyo bila ya malengo yoyote ya kivita, haina hata central command,wameruhusu kila askari mahali alipo afanye chochote anachoweza.Swali je, ufalme upo tayari usalama wao kuwa rehani kisa kuingia vita na Iran ?
Saudia[ viongozi na wananchi wote] ipo tayari kuipokea hali kama ya Iran,Israel,Palestine,Lebanon wanazo kutananazo sasa maana kwenye vita huko na Iran Saudia hawatopewa tende bali mabomu hiki ndicho kinachoendelea katika miji ya Iran,Israel,Lebanon
Kama wapo fit kwa kila hali wazame mzigoni tuone nani anauwezo wa kuvumilia shida na ana uwezo wa kupambana kwa muda mrefu kati yao.
Malengo ya Iran katika vita ni yapi ?Iran kwa sasa ipo tepetepe, inachofanya sasa hivi ni kurusha makombora hovyo hovyo bila ya malengo yoyote ya kivita, haina hata central command,wameruhusu kila askari mahali alipo afanye chochote anachoweza.
Hujui loloteIran kwa sasa ipo tepetepe, inachofanya sasa hivi ni kurusha makombora hovyo hovyo bila ya malengo yoyote ya kivita, haina hata central command,wameruhusu kila askari mahali alipo afanye chochote anachoweza.
Kama wapo fit kwa kila hali wazame mzigoni.Hata kama ni wewe, utapigwaje kifala kisa ni rafiki yako? Itabidi ujititimue tu kujibu mapigo. Iran akipigwa mande na hao majirani zake hatoboi.
Wauane tu hakika. Walipue Makka, Jerusalem, wasiiache WDc na Trump wake, Netanyau wote, Teheran ibaki majivu, yaani iwe piga nikupige wasipoe miaka 10 mbele.Walipuane tu πππ
nilihoji hapa kama mwaka huu kutakuwa na hija kutokana na minyukano ya israel/marekani na iran. Hali ya usalama mashariki ya kati ni tete, madalali wa hija itabidi warudishe hela za mahujaji, hakuna kusema kiendacho kwa mganga hakirudi. Saudia wakiingia mzigoni ni totally mwaka huu hakutakuwa na hijaMadalali wa hijja washaanza kuona kazi yao imeingiwa mdudu
UmelongaWauane tu hakika. Walipue Makka, Jerusalem, wasiiache WDc na Trump wake, Netanyau wote, Teheran ibaki majivu, yaani iwe piga nikupige wasipoe miaka 10 mbele.
Sema hata wao Saudia watabidi wa play smart maana wanajua kiasi gani Hijja inawaingizia mapato.nilihoji hapa kama mwaka huu kutakuwa na hija kutokana na minyukano ya israel/marekani na iran. Hali ya usalama mashariki ya kati ni tete, madalali wa hija itabidi warudishe hela za mahujaji, hakuna kusema kiendacho kwa mganga hakirudi. Saudia wakiingia mzigoni ni totally mwaka huu hakutakuwa na hija
Madalali wa hijja washaanza kuona kazi yao imeingiwa mdudu
Anapiga hovyo huku ana hit target una Akili wewe !?Iran kwa sasa ipo tepetepe, inachofanya sasa hivi ni kurusha makombora hovyo hovyo bila ya malengo yoyote ya kivita, haina hata central command,wameruhusu kila askari mahali alipo afanye chochote anachoweza.
Saudi Arabia jinsi ilivyo uchi kiulinzi itaweza kweli kuingia mzigoni na Iran hata kwa week 1 tu!!
View: https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e
Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia.
Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia wanabaki Warabu kupokea dozi kutoka kwa Iran. Hizo ni plan walizipika USA na Israel siku nyingi.