Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

Hahaha wacha uwongo Saud Arabia Air force pia walikuwepo, Australia, Netherlands nenda katazame fact sio unaropoka tu.
Wewe unachanganya Opereshen Desert Storm ya kumtoa Sadam Kuwaiti 1990

Hii ya juzi juzi kumtoa Saddam kwenye shimo na kumnyonga ilikuwa ni US na UK.
 
UK aliomba akampige Yemen akambiwa haruhusiwi kupita katika Oman airspace
Kuna mkataba wa UK kuilinda Sultanate of Oman wewe unafikiri hayo Majambiya yao yanaweza kuwalinda?!🤣
 
Wewe unachanganya Opereshen Desert Storm ya kumtoa Sadam Kuwaiti 1990

Hii ya juzi juzi kumtoa Saddam kwenye shimo na kumnyonga ilikuwa ni US na UK.
Hio ya Pili ndio walikuwa wengi mpaa Ukraine na Korea walikuwepo US hana ubavu wa kupigana bila kusaidiwa.

Nani anaye kuambia Sadam walimtoa kwenye shimo, wanajeshi wenyewe wa US wanakiri sadam alipigana nao mpaa time ya mwisho. Hio si walimpiga dawa za kimlaza afu wakamuingiza kwenye shimo ili aonekane kama wamemkuta humo.

Itabidi nimuandikie barua mama Samia wafungue hospital iwe ina madaktari bingwa wa kutibu vichaa kuliko hio ya Mirembe hali yako inazidi Mirembe.
 
Kuna mkataba wa UK kuilinda Sultanate of Oman wewe unafikiri hayo Majambiya yao yanaweza kuwalinda?!🤣
Hizo ni nyimbo tu hakuna kitu hicho leta dalili wapi Oman yuko chini ya ulinzi wa UK. Nacho fahamu Oman wako na urafiki na kila nchi hana uadui na jirani zake.
 
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel wameisha peleka askari Sourh Yemen, ili wamsaidie Israel. Hali imekuwa tete huko Israel. Hizo nchi zinataka kuondoa majeshi ya Yemen ya Al Houth pale Red Sea, sababu wamejua kumkaba Israel kwenye koo pale Red Sea.

Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una muona rafiki na adui una muona rafiki.
Wewe ndiye unayajua Maslahi ya hizo nchi kuliko wao wenyewe?
 
Sa umezidisha nchi kwanza ulisema mbili, watu wa Mirembe noma sana.
Wewe ulisema ni Nchi 44 nikakwambia unachanganya Vita ya kumtoa Saddam Hussain Kuwaiti na Vita vya kumkamata na kumnyonga Saddam vya 2003.

Bado Ayatolah
058a0000-0aff-0242-87df-08daee402146_cx0_cy14_cw0_w408_r1_s.jpg
 
Wewe ndiye unayajua Maslahi ya hizo nchi kuliko wao wenyewe?
Wewe kenge hao viongozi wa hizo nchi hakuna hata mwananchi wao atakubali wafanye ujinga huo, isipokuwa hawana jinsi wakilalamika wanacharaxza viboko au wanatupwa jela.
 
Swali lilikuwa lini US alipigana peke yake kawaida ya muongo anaruka huku na kule.
Nilikwambia wanaopigana ni US na UK Australia ni Commonwealth ya UK.

Lakini sota tunajua Majeshi yaliyoingia Baghdad ni ya US.

Na Waliomnyonga Saddam ni Waislamu wa Mazehebu ya Mashia
 
Ulisema US ndio walimtoa Sadam haukutaja nchi zingine hata Ukraine walingia Baghdad we bwege sana.
 
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel wameisha peleka askari Sourh Yemen, ili wamsaidie Israel. Hali imekuwa tete huko Israel. Hizo nchi zinataka kuondoa majeshi ya Yemen ya Al Houth pale Red Sea, sababu wamejua kumkaba Israel kwenye koo pale Red Sea.

Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una muona rafiki na adui una muona rafiki.
Uandishi mbovu kabisa
 
Back
Top Bottom