Ulitaka aseme kuwa ni Muislam ? Stone kisser? Mfuasi wa dini ya Waislam waongo?
Bibilia inalitukuza jiwe Jeusi. We kaa na ujinga wako tu.
Petro 2:4-5:11
Neno: Bibilia Takatifu
Jiwe Hai Na Taifa Takatifu
4 Basi, njooni kwake yeye aliye Jiwe lililo hai, ambalo lili kataliwa na watu bali kwa Mungu ni teule na la thamani kubwa. 5 Ninyi pia, kama mawe hai mjengwe kuwa nyumba ya kiroho, mpate kuwa makuhani watakatifu, mkitoa sadaka za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo. 6 Kwa maana imeandikwa katika Maandiko: “Tazama, ninaweka jiwe kuu la msingi huko Sayuni; jiwe la pembeni teule na la thamani kubwa, na kila amwaminiye hataaibika.” 7 Kwenu ninyi mnaoamini, yeye ni wa thamani kubwa. Lakini kwao wasioamini, “Lile jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi,” 8 na, “Jiwe ambalo litawafanya watu wajik wae; mwamba ambao utawafanya waanguke.” Wanajikwaa kwa sababu hawatii lile neno, kama walivyopangiwa tangu mwanzo.
9 Lakini ninyi ni uzao mteule, ukuhani
TKU;SNT;NIV;NKJV - Jiwe Lililo Hai na Taifa Takatifu
Mkaribieni Bwana Yesu, aliye Jiwe lililo Hai, lililokataliwa na watu, bali kwa Mungu ni jiwe lililoteuliwa na kuheshimika
Kwanza.mnambiwa Jiwe lililo hai ni taifa takatifu. Pia hata Yesu anaitwa jiwe afu unalidharau jiwe 😄
Nyie jiwe leni liko wapi dogo? Au hamna nchi takatifu bado ina jiwe.