Najua umeandika bila kujua, ila cha ajabu comment yako ipo sahihi, nimeandika huko juu naandika na hapa. Israel yupo behind migogoro karibia yote Africa, Usifikiri Kina Mandela, Nyerere na viongozi wengine wenye Busara wanawapinga for nothing.
Kuna watu wawili unatakiwa uwafahamu kama mtu kutoka Africa
1. Dan Gertler
2. Ben Steinmez
1. Dan Gertler kwa jina Jengine anaitwa Master of cobalt, ndio mtu ambaye yupo nyuma ya migodi mingi ya Cobalt na shaba, vita vingi Congo, ukisikia watoto wadogo wanatumikishwa, watu wanapata kansa na migogor mbalimbali ya sehemu kama Congo huyu jamaa ndio yupo Nyuma, Even mataifa marafiki ya Israel kama Marekani huyu jamaa amekuwa sanctioned, mpaka Un Kofi Annan alilalamika sana Jinsi anavyoiibia Congo matrilioni ya Hela.
Hawa ndio wafanyakazi wake
View attachment 3141647
2. Ben Steinmez, huyu mzee wa Blood Diamond, Sierra lion, Guinea, Congo nenda Nchi yoyote watu wanaouana kwa ajili ya Almasi jamaa yupo Nyuma yake, Kampuni yake ni katika Kampuni zinazohodhi Almasi Duniani.
Wakienda Nchi za Ulaya wanakamatwa ila wanakimbilia Israel kukwepa hukumu kama Mabilionea wengi wa Israel wanavyofanya.
Hapo Sudan usisahau mwezi wa 9 Tu Netanyahu aliinua Ramani kuhusu the so called "Blessing" na "Cursed" akaleta mgogoro mkubwa tu kuhusu Sudan na anaowasuport.
View attachment 3141652
Hivyo ndio, bila kujijua umeitaja migogoro ya Africa ambayo mabwana zako wanahusika.