Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

Hao Houth Toka USA awatwange na midege mipya sijawasikia tena miez mi2 sasa
Huwezi wasikia sababu husikilizi habari siku tatu nyuma wamezitia kiberiti meli tatu za mazayuni
Hizi ni hoja mfu, uchoko uliopamba moto Zanzibar na Mombasa napo ni Israel?
Hoja mfu sababu mnatetea kufirana lini ulisikia huko wanaeka gwaride lakusapoti uchoko na kufirana au bungeni kupitisha ndoa za kufirana
 
Yaani vita isingekuwa inazingatia misingi ya haki za binadamu, Palestina, Lebanon na Yemen kwa sasa zingekuwa zishafumuliwa...
Haki gani ya binadamu inayozingatiwa Hapo Palestina? Hawatumii tu Nyuklia sababu itaadhiri na wao, ila karibia sheria zote za kimataifa Zimevunjwa hapo, Magari ya UN yanalipuliwa hadi mashirika ya kimataifa ambayo has nothing to do na huo mgogoro wanauliwa.
 
Ujinga umekujaa
Syria kuna houth anaua raia tu , Lebanon kuna Hizbollah anaua raia tu , Gaza kuna hamas anaua raia tu , Syria kuna Quds wanaua raia tu , iraq kuna quds wanaua raia tu
 
Huwezi wasikia sababu husikilizi habari siku tatu nyuma wamezitia kiberiti meli tatu za mazayuni
Kwahiyo ule mpango wao wa kurusha makombora kwa wazee wa gwaride umefia wapi maana walikuja kwa Kasi ya kimbunga.
 
Adui mkubwa wa nchi za kiarabu ni Iran na magenge yake ya kigaidi, siyo Israel.

Israel ipo front line kumwangamiza adui wa ustaarabu Duniani, Iran. Nyuma ya Israel kuna mataifa yote ya Kiarabu yanayochukia ugaidi.

Hutasikia hata siku moja, kuna nchi ya kiarabu imeilaani Israel kwa kuwatwanga magaidi ya Hezbollah, Houth au Hamas. Concerns zao ni vifo vya raia.
israel bado inamalizana na hayo machawa ya Iran ambao makundi ya hezbolah.Iran ina haha inataka kubadilisha muelekeo wa vita kwa propaganda nyingi kwani hezbolah inaipoteza lebanon na jeshi na serikali inachukua uongozi na baada ya hapo huth wa yemeni.Iran zamu yake bado itageuzwa kifusi🔥🔥
 
Wewe Mswahili wa Ikwiriri ni kitu gani kinachokuuma wakati hao uadui wao ni wa kindugu.
We tatizo lako ulifake certificate eti ume maliza Secondary, ndio sababu ukabahatika kuchukuliwa JWTZ leo ungebaki huko kondoa unalima karanga.

Hebu tazama wajinga wamenda kushusha makamanda wao Lebanon eti wanamteka mkubwa wa navy ya Hezbullah. Kumbe wamenda beba mwanafunzi anaye some mambo ya navy za civilian. 😄

View: https://youtu.be/1pBlkvNlFUs?si=j9BCsQOqRCa70VMC
 
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel wameisha peleka askari Sourh Yemen, ili wamsaidie Israel. Hali imekuwa tete huko Israel. Hizo nchi zinataka kuondoa majeshi ya Yemen ya Al Houth pale Red Sea, sababu wamejua kumkaba Israel kwenye koo pale Red Sea.

Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una muona rafiki na adui una muona rafiki.
Source ?
 
Hizi ndo habari hua mnapeana baada ya kutoka kuswali shekhe?
Ina onekana we ni mmbobevu haswa wa masuala ya Mashariki ya mbali yaani Chambuzi
We mimi nimeisha izunguka Middle East yote kama hujui isipo kuwa hilo taifa fake lenu. We usinifananishe mimi na wewe hata siku moja we Vizia mfulu ukauze sokoni tu.
 
We tatizo lako ulifake certificate eti ume maliza Secondary, ndio sababu ukabahatika kuchukuliwa JWTZ leo ungebaki huko kondoa unalima karanga.

Hebu tazama wajinga wamenda kushusha makamanda wao Lebanon eti wanamteka mkubwa wa navy ya Hezbullah. Kumbe wamenda beba mwanafunzi anaye some mambo ya navy za civilian. 😄

View: https://youtu.be/1pBlkvNlFUs?si=j9BCsQOqRCa70VMC

Sasa mimi ntajua wapi hiyo Lugha ya Kigeni ya kusomea Quruani?!
 
Hao Houth Toka USA awatwange na midege mipya sijawasikia tena miez mi2 sasa
Huwezi wasikia sababu husikilizi habari siku tatu nyuma wamezitia kiberiti meli tatu za mazayuni
Hizi ni hoja mfu, uchoko uliopamba moto Zanzibar na Mombasa napo ni Israel?
Hoja mfu sababu mnatetea kufirana lini ulisikia huko wanaeka gwaride lakusapoti uchoko na kufirana au bungeni kupitisha ndoa za kufirana
 
Hao Houth Toka USA awatwange na midege mipya sijawasikia tena miez mi2 sasa
Huwezi wasikia sababu husikilizi habari siku tatu nyuma wamezitia kiberiti meli tatu za mazayuni
Hizi ni hoja mfu, uchoko uliopamba moto Zanzibar na Mombasa napo ni Israel?
Hoja mfu sababu mnatetea kufirana lini ulisikia huko wanaeka gwaride lakusapoti uchoko na kufirana au bungeni kupitisha ndoa za kufirana
 
View: https://youtu.be/RBeorNBZjy0?si=10GFtSvZK119-78y

View: https://x.com/anesmansory/status/1852068496139784199?t=7u-_-9Q9F4qYuC0_4Iyzzw&s=19
 
Bila zayuni dunia ingekua mahala salama na mashariki ya kati pia
Kwa hiyo Sudan kuna zayuni. Congo kuna zayuni Somalia na alshabab kuna zayuni. Vita mliyopigana na Uganda aliileta zayuni vipi Russia na Ukraine je? Njoo North korea pia kuna zayuni ..rudi Boko haram kote kuna Zayuni . Hapo msumbiji pia napo kuna Zayuni Sasa ukishaosha ndevu zako jiulize kwenye hizo conflicts ngapi zipo affiliated na dini ile??!...japo nakujua huwezi kudadavua chochote zaidi ya kuja na matusi.
 
Chuki dhidi ya waisilam imekujaa mpaka mkunduni jiangalie usije ukapasuka mjinga ww.
Shehe ubwabwa katika ubora wake na akifuata kikamilifu mafundisho ya mtume (saw). Nothing to worry about.
 
Back
Top Bottom