baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mkuu wewe sio mwanajeshi, ila vaa viatu vya mwanajeshi, kiongozi wako yupo Miami huko anakula bata, Mtoto wake yupo salama nyie kila siku mnapewa kichapo wenzenu wanakufa, lazima Morale iwe chini.Sasa kati ya Ayatola mmoja na wanajeshi 100 wa Irani, yupi unadhani akiuliwa dunia itatikisika?
At same time wewe ni mwanajeshi ila kiongozi wako yupo Frontline anauliwa, Morale lazima iwe juu.
Just imagine hapo Gaza hawana Chochote kile wanatumia hadi mabomba ya maji kutengeneza silaha, kila kitu kinatengenezwa kienyeji, wamezungukwa kila upande then wanapigana na Jeshi linalosaidiwa na Taifa Tajiri zaidi Duniani kwa zaidi ya mwaka na bado wanapelekea Moto Balaa.