Jamaa hata historia ya mzozo wa Mashariki ya kati nahisi hajaujua vizuri.Hakuna kiumbe chochote ambacho hakufai kuwepo uso wa Dunia kuliko kinachoua wanawake na watoto.
Ushawahi sikia Houth Kavamia Saudi? Ushawahi sikia Houth kapiga shule ama Hospitali? Wana dili wanaume wenzako.
Zamani ilikua Iraq, Yemen, Syria, Lebanon, wapalestina etc wote walikua Allies wa Saudi na washirika wake, taratibu wote wanaenda Iran sababu ya haki, kila mtu anaona nani anafuata haki na nani ana kiu ya damu.
Nikukumbushe tu hao Saudi walipiga mabomu hapo na kuua watoto wengi tu wakisaidiwa na Usa hao ndo watu unaowatetea.
Soon taratibu Saudi na wenzao Israel wanapoteza Allies, ilikuwa Ulaya wote wa am support Israel sasa hivi Taratibu tunaona Ufaransa Ubelgiji spain wote wamemtema.
Dunia inaamka na soon mtavuliwa nguo nyote mnaotetea mauaji.
Syria imeanza kuandamwa toka 1950s tumuulize atupe jibu je hao Iran walikuaje kipindi hiko!?