Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
242
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.

Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.

======

Hivi huyu mdada mbona hajipendi! Yaan anavaaga hovyo hovyo kwenye hicho kipindi chake, mi sijawahi kuona akapendeza.

Kuna siku alivaa black juu mpaka chini yaani alitisha. Kama kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze, havutii kabisa na wala kipindi chake ni hewa..
 
Msamehe labda alikua hajajua kuoga vizuri ndo maana alikua black
 
Msamehe labda alikua hajajua kuoga vizuri ndo maana alikua black

hapo sio suala la kuoga mbona wengi wanaoga na kutumia costmetcs za kawaida tu na bado wanabamba
 
Mke wa n'tu mwenye mali anapenda awe mweupe.
 
Mwili ni wake, maisha ni yake, ni mtu mzima mwenye kazi yake, sasa aamue kujimenya au kutojimenya hiyo inamhusu yeye na yeye pekee.

Wengine haituhusu hata kidogo.

Tujifunze kuwaacha watu waishi wapendavyo bila kuwahukumu.
 
mkuu nyani ngabu .ungesema mtu mzima hovyo kwa kuwa mweusi ni dhambi.
 
Mwacheni bibie ajinafasi bhana,akidhurika ni yeye wala haitowahusu
 
Back
Top Bottom