Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.
Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.
======
Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.
======
Hivi huyu mdada mbona hajipendi! Yaan anavaaga hovyo hovyo kwenye hicho kipindi chake, mi sijawahi kuona akapendeza.
Kuna siku alivaa black juu mpaka chini yaani alitisha. Kama kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze, havutii kabisa na wala kipindi chake ni hewa..