Hivi huyu mdada mbona hajipendi! Yaan anavaaga hovyo hovyo kwenye hicho kipindi chake, mi sijawahi kuona akapendeza.
Kuna siku alivaa black juu mpaka chini yaani alitisha. Kama kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze, havutii kabisa na wala kipindi chake ni hewa..
Msamehe labda alikua hajajua kuoga vizuri ndo maana alikua black
Msamehe labda alikua hajajua kuoga vizuri ndo maana alikua black
hapo sio suala la kuoga mbona wengi wanaoga na kutumia costmetcs za kawaida tu na bado wanabamba
Picha tafadhali tuone cosmetics zilvyokoboa.....
Hajawahi kuwa mzuri labda thread ingesomeka sauda azidi kuwa mbaya baada ya kujichubua!
Hajawahi kuwa mzuri labda thread ingesomeka sauda azidi kuwa mbaya baada ya kujichubua!
sta tv saa 2;30 usiku kila siku mkuu