Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mwili ni wake, maisha ni yake, ni mtu mzima mwenye kazi yake, sasa aamue kujimenya au kutojimenya hiyo inamhusu yeye na yeye pekee.
Wengine haituhusu hata kidogo.
Tujifunze kuwaacha watu waishi wapendavyo bila kuwahukumu.
Amekuwa na ngozi mbayaaaaa utasema nyumba ya uzazi! Puuuuuuuuuuu!
na Pua yake ile kama Chenza...
siku hizi na wewe umeacha kuhukum watu cos kwa nijuavyo hako ndo katabia kako
upo mamito?? Miss u lol!hebu tuwekee picha before and after mkorogo
upo mamito?? Miss u lol!
poa sana......hivi kwa nini huji.....? nina offer kabambe kwako........
i have multiple Identity ko tarehe niliyoin kwa jina hilo lisikupe tabu & si tunakaa jirani mkuu ko nakufahamuWewe umejiunga tarehe 21 mwezi Machi mwaka huu. Katabia kangu umekajuaje chini ya miezi miwili ya uwepo wako hapa?
Unatumia majina gani mengine humu?
i have multiple Identity ko tarehe niliyoin kwa jina hilo lisikupe tabu & si tunakaa jirani mkuu ko nakufahamu
nitakuja mupenzi siku moja! Nispend hata siku mbili tatu! Salamu kwa wote chuga huko!poa sana......hivi kwa nini huji.....? Nina offer kabambe kwako........
Hapana, sidhani kama unanifahamu.
Kama unanifahamu hebu niwekee initials za jina langu la kwanza na la mwisho kama lilivyo kwenye cheti changu cha kuzaliwa, pasi yangu ya kusafiria, na leseni yangu ya kuendeshea gari.
Unaweza ukaniwekea hapa au hata kwa njia ya PM.
Kumbe na wewe siku hizi una pasi ya kusafiria na leseni ya kuedeshea gari hongera mkuu......
ntakuPM full name as a proof and not the Initials.