Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Mwili ni wake, maisha ni yake, ni mtu mzima mwenye kazi yake, sasa aamue kujimenya au kutojimenya hiyo inamhusu yeye na yeye pekee.

Wengine haituhusu hata kidogo.

Tujifunze kuwaacha watu waishi wapendavyo bila kuwahukumu.

siku hizi na wewe umeacha kuhukum watu cos kwa nijuavyo hako ndo katabia kako
 
Wewe umejiunga tarehe 21 mwezi Machi mwaka huu. Katabia kangu umekajuaje chini ya miezi miwili ya uwepo wako hapa?

Unatumia majina gani mengine humu?
i have multiple Identity ko tarehe niliyoin kwa jina hilo lisikupe tabu & si tunakaa jirani mkuu ko nakufahamu
 
i have multiple Identity ko tarehe niliyoin kwa jina hilo lisikupe tabu & si tunakaa jirani mkuu ko nakufahamu

Hapana, sidhani kama unanifahamu.

Kama unanifahamu hebu niwekee initials za jina langu la kwanza na la mwisho kama lilivyo kwenye cheti changu cha kuzaliwa, pasi yangu ya kusafiria, na leseni yangu ya kuendeshea gari.

Unaweza ukaniwekea hapa au hata kwa njia ya PM.
 
Hii inakaribia kufanana na jamii ya Albino!

_MG_8560.jpg
 
Hapana, sidhani kama unanifahamu.

Kama unanifahamu hebu niwekee initials za jina langu la kwanza na la mwisho kama lilivyo kwenye cheti changu cha kuzaliwa, pasi yangu ya kusafiria, na leseni yangu ya kuendeshea gari.

Unaweza ukaniwekea hapa au hata kwa njia ya PM.

Kumbe na wewe siku hizi una pasi ya kusafiria na leseni ya kuedeshea gari hongera mkuu......
ntakuPM full name as a proof and not the Initials.
 
Back
Top Bottom