Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

umeona ee,kwa wanaume waukwel mwanamke kujichubua hivi ni vibaya na unakukosesha ashk naye
 
sta tv saa 2;30 usiku kila siku mkuu

nyani hauni kun.ule.....wewe mbona hatujakushikia kidedea na wizi wa simu? Yeye ni maisha yake hayakuhusu...kama ambavyo tumeacha kukusumbua na kumuvuzisha simu za watu. tutakuanzishia trend na simu ulizoiba....ohooo
 
hayo ya cm yametoka wapi?.au we ndio sauda.watu wanatumia id fake we uewajuaje,kwan my web ninani tumjue au mery mery ni nani vile kwa majina yao harisi.kama ni kesi ya cm mpelekane polis.wacha tujadili hoja hapa usitumie masabur kuwaza.
 
nyani hauni kun.ule.....wewe mbona hatujakushikia kidedea na wizi wa simu? Yeye ni maisha yake hayakuhusu...kama ambavyo tumeacha kukusumbua na kumuvuzisha simu za watu. tutakuanzishia trend na simu ulizoiba....ohooo

Hilo ndo litatoa ujinga wa huyu mtoto wa kisambaa ?
 
tangu nilivyokuona sta tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili.sikuzinavyo kwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu.ushamba unawatesa madada wa tz kama hamkusoma shule.ujinga ni maradhi.

haya SAUDA MWILIMA huyu hapa tuambie amejikoboaje??
 

Attachments

  • sauda mwilima.JPG
    27.2 KB · Views: 472
Baba b anasema huyo dada sauda hajawahi kua mzuri hata kabla hajajikoboa. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…