mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
asiyeumba haumbui
na Pua yake ile kama Chenza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na Pua yake ile kama Chenza...
sta tv saa 2;30 usiku kila siku mkuu
nyani hauni kun.ule.....wewe mbona hatujakushikia kidedea na wizi wa simu? Yeye ni maisha yake hayakuhusu...kama ambavyo tumeacha kukusumbua na kumuvuzisha simu za watu. tutakuanzishia trend na simu ulizoiba....ohooo
Ndiyo furaha ya mmewe mkuu
Kinyago cha mpapule
Hii inakaribia kufanana na jamii ya Albino!
![]()
sijui huwa anatumia kioo cha wapi?2.30 si mda wa habari au siku hizi bidada nae anasoma habari
tangu nilivyokuona sta tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili.sikuzinavyo kwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu.ushamba unawatesa madada wa tz kama hamkusoma shule.ujinga ni maradhi.
Baba b anasema huyo dada sauda hajawahi kua mzuri hata kabla hajajikoboa. Nawasilisha
Baba b anasema huyo dada sauda hajawahi kua mzuri hata kabla hajajikoboa. Nawasilisha