Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Dogo hata picha huzioni?? Endelea kukaririPale Asia machawa wanne wakuu wa U.S.A wa kwanza ni ISRAEL wapili JAPANI wa tatu ni SAUDIA wanne ni SOUTH KOREA. wengine ndo wanafata akina Taiwan, Kuwait na wengineo. SAUDIA hawezi muangusha mtu wake marekani
SAUDIA hawezi ACHA uchawa Kwa U.S.A dogooo hizi ni story yule SAUDIA ni chawa strategicallyDogo hata picha huzioni?? Endelea kukariri
DU tell me dollar iko backed na kitu gani?Sio kweli kwamba Rupia ya India yote imedhaminiwa kwa Dhahabu nyingine haijadhaminiwa kwa dhahabu, Yuan 40% ndiyo tu imedhaminiwa kwa dhahabu. 60% imedhaminiwa kwa fedha za kigeni na hati fungani za serikali, na hata Russia ni hivyo hivyo. Jee hii nadharia yenu ya kuishutumu Dollar kwamba haiko "Backed" na dhahabu mnaitoa wapi?? Mfumo wa kuiweka fedha ya nchi kwa dhahabu siyo muda utaonekana hauna maana. Kwani dhahabu ni nini??
Brother we ni mchumi? Hebu niambie US viwanda vyake vinazalisha nini zaidi ya military equipment vs China. Je bankinf system inapata shock how do we rescue dollar against all other cureencies.Hizo hekaya za pesa kuwa backed na Gold ni petty sana kwenye dunia ya sasa, dunia ilishatoka huko muda mrefu sana. Pamoja na power plays za WWII za US, Dola ya Marekani imeendelea kuwa sarafu ya kimataifa kwa sababu ya 1.Ukubwa wa uchumi wa US na muunganiko wake na kila nchi duniani,
2.Ni tulivu(stable), haiyumbi kama mlevi.
3.Imani ya watu juu ya utawala wa sheria na kutabarika kwa sera za kiuchumi za US.
Acha utoto lete factSAUDIA hawezi ACHA uchawa Kwa U.S.A dogooo hizi ni story yule SAUDIA ni chawa strategically
Halafu hata kama fedha inatakiwa kuwa "Backed" kwa dhahabu, bado Marekani ndiyo yenye dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote ile duniani. Sasa mwenye dhahabu nyingi ndiye anaonekana tena fedha yake haiko - Backed na dhahabu. Hii nadharia ya dhahabu na thamani ya fedha iko siku nikipata wasaa nitaifafanua.Hizo hekaya za pesa kuwa backed na Gold ni petty sana kwenye dunia ya sasa, dunia ilishatoka huko muda mrefu sana. Pamoja na power plays za WWII za US, Dola ya Marekani imeendelea kuwa sarafu ya kimataifa kwa sababu ya 1.Ukubwa wa uchumi wa US na muunganiko wake na kila nchi duniani,
2.Ni tulivu(stable), haiyumbi kama mlevi.
3.Imani ya watu juu ya utawala wa sheria na kutabarika kwa sera za kiuchumi za US.
Mbona hiyo habari iko tangu mwaka 2009 ilipoanzishwa BRICS!! Yaani wewe unauza mkaa na jirani yako anafungua banda la mkaa, unaweza kweli usijali? Kinachoongelewa hapo jee ikifanikiwa itakuwaje na siyo kwama imefanikiwa. Kwenye kila sentensi kuna neno "If" kitu kinachoonesha hapo wamarekani wanahimizana kuwa macho.Mtaelewa tu somo mtake au msitake...
Shida ya China kwa sasa ,currency yao bado itachukua muda kwa kuwa haja invest sana kwenye mataifa mengi.Na wakisema wa backed na gold ,nchi yenye reserve kubwa ya gold ni marekani mpaka sasa na wanaweza kui subortage yuan na ndio maana mwarabu ajaingia sana kwenye hiyo .Nikupe mfano wa Euro ,mwingireza alikataa na akabaki na Pound yake bado hawajaweza kumwangusha Paund ingawa Euro ina nguvu kuliko dollar bado dolar inasimama kama "most traded currency" ingawa ina value ndogo kuliko Euro na Paund.Ni kweli US hawezi kuona utawala wake unaangushwa kienyeji. Rupee, Yuani, Rubble zipo backed na Gold yaani value zake ni derived na gold tofautina dollar.
Hicho ndio kinaipa confidemce ingawa badoni ndogo. Ona kinachotpkea kwa bank kubwa kwa sasa ulaya na US. Ikishika kasi ndio mwisho wa Dollar. Fedha mbadala kwa sasa ni Yuani.
Dollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.DU tell me dollar iko backed na kitu gani?
Marekani ndiye mnunuzi wa faida kwa China, hakuna nchi Moja inayofanya biashara kubwa kama China na Marekani.Juzi tu hapa nacy pelosi katua Taiwan , licha ya mikwara tele ya China,
Huawei kapotezwa , na si kampuni ya kwanza china kufanyiwa hivyo.
Yuan itafanikiwa kwa Urusi pekeeShida ya China kwa sasa ,currency yao bado itachukua muda kwa kuwa haja invest sana kwenye mataifa mengi.Na wakisema wa backed na gold ,nchi yenye reserve kubwa ya gold ni marekani mpaka sasa na wanaweza kui subortage yuan na ndio maana mwarabu ajaingia sana kwenye hiyo .Nikupe mfano wa Euro ,mwingireza alikataa na akabaki na Pound yake bado hawajaweza kumwangusha Paund ingawa Euro ina nguvu kuliko dollar bado dolar inasimama kama "most traded currency" ingawa ina value ndogo kuliko Euro na Paund.
Na hapo Yuan iko controlled ili bei yake isipande sana hadi kulingana na dollar maana watakosa wanunuzi wa bidhaa zaoDollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.
Wenye akili tu ndio wanaelewa we endelea kuchunga ng'ombe huko kolomijeHuwa mnatoa wapi habari zenu?
Ni sahihi the way malipo yanafanyika ni based on balance of trade. Kama umenunua vitu vya value ya 20 dollar nami nimekuuzia vya 20dollar hiyo ni balance of trade hivyo hunilipi chochote na sikupi chochote.Dollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.
Na ukiangalia kwa karibu utaona hizo takwimu zinaongea kwa sauti kwamba Uchina inaitegemea zaidi Marekani kwa soko kuliko Marekani inavyoitegemea Uchina.Ukiangalia hapo Marekani ni #3 yeye pekee amenunua na kuuziana miizigo mingi
Lakini kwa bahati mbaya sana mlingano wa kibiashara kwa nchi maskini na nchi tajiri ni mdogo sana.Ni sahihi the way malipo yanafanyika ni based on balance of trade. Kama umenunua vitu vya value ya 20 dollar nami nimekuuzia vya 20dollar hiyo ni balance of trade hivyo hunilipi chochote na sikupi chochote.
Hakuna umaskini mbaya Kama kukosa ajili na maarifa,[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.
Nilishasema warabu hawana akili
Sasa umri mrefu wa sarafu ni miaka mingapi?? Kwanza kazi ya kwanza ya sarafu ni nini na kwa nini watu mnadhani ni Dollar pekee ndiyo inaathirika na mabadiliko ya Teknolojia na nadharia za kuendesha uchumi duniani??Hakuna umaskini mbaya Kama kukosa ajili na maarifa,
Kwani hujui ili kitu kife mojawapo ya sifa ni umri mrefu, think BFR posting rubbish