Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Sio kweli kwamba Rupia ya India yote imedhaminiwa kwa Dhahabu nyingine haijadhaminiwa kwa dhahabu, Yuan 40% ndiyo tu imedhaminiwa kwa dhahabu. 60% imedhaminiwa kwa fedha za kigeni na hati fungani za serikali, na hata Russia ni hivyo hivyo. Jee hii nadharia yenu ya kuishutumu Dollar kwamba haiko "Backed" na dhahabu mnaitoa wapi?? Mfumo wa kuiweka fedha ya nchi kwa dhahabu siyo muda utaonekana hauna maana. Kwani dhahabu ni nini??
DU tell me dollar iko backed na kitu gani?
 
Hizo hekaya za pesa kuwa backed na Gold ni petty sana kwenye dunia ya sasa, dunia ilishatoka huko muda mrefu sana. Pamoja na power plays za WWII za US, Dola ya Marekani imeendelea kuwa sarafu ya kimataifa kwa sababu ya 1.Ukubwa wa uchumi wa US na muunganiko wake na kila nchi duniani,
2.Ni tulivu(stable), haiyumbi kama mlevi.
3.Imani ya watu juu ya utawala wa sheria na kutabarika kwa sera za kiuchumi za US.
Brother we ni mchumi? Hebu niambie US viwanda vyake vinazalisha nini zaidi ya military equipment vs China. Je bankinf system inapata shock how do we rescue dollar against all other cureencies.
Tumeona sharss za banks zimeshuka over 30%, na kuna watu wana bonds za US government value ya dollar ikishuka how do you rescue.... anyways. Umemsikia Rais wa Kenya alichosema?

Usione nchi nyingi zimeanza kuikimbia dollar ni kwa sababu madhara yake ni makubwa kwa sababu haiko backed na chochote. Soma tena US Dollar monetaty regime
 
Mtaelewa tu somo mtake au msitake...
Screenshot_20230327-231836_Twitter.jpg
Screenshot_20230327-231753_Twitter.jpg
 
Hizo hekaya za pesa kuwa backed na Gold ni petty sana kwenye dunia ya sasa, dunia ilishatoka huko muda mrefu sana. Pamoja na power plays za WWII za US, Dola ya Marekani imeendelea kuwa sarafu ya kimataifa kwa sababu ya 1.Ukubwa wa uchumi wa US na muunganiko wake na kila nchi duniani,
2.Ni tulivu(stable), haiyumbi kama mlevi.
3.Imani ya watu juu ya utawala wa sheria na kutabarika kwa sera za kiuchumi za US.
Halafu hata kama fedha inatakiwa kuwa "Backed" kwa dhahabu, bado Marekani ndiyo yenye dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote ile duniani. Sasa mwenye dhahabu nyingi ndiye anaonekana tena fedha yake haiko - Backed na dhahabu. Hii nadharia ya dhahabu na thamani ya fedha iko siku nikipata wasaa nitaifafanua.
 
Mtaelewa tu somo mtake au msitake...
Mbona hiyo habari iko tangu mwaka 2009 ilipoanzishwa BRICS!! Yaani wewe unauza mkaa na jirani yako anafungua banda la mkaa, unaweza kweli usijali? Kinachoongelewa hapo jee ikifanikiwa itakuwaje na siyo kwama imefanikiwa. Kwenye kila sentensi kuna neno "If" kitu kinachoonesha hapo wamarekani wanahimizana kuwa macho.

Jee BRICS iko imara kiasi hicho au mahasimu wa Marekani yaani Urusi na China ndiyo wanaibeba? Unajua kwamba India miaka ya nyuma walishawahi kuifungasha virago kampuni ya Cocacola kwa miaka 16 na baadae wakaomba iwekeze tena India?? Unajua ni kwa nini waliirudisha Cocacola wakati walikuwa na Soda yao inauza sana ya "Campa Cola"? Kwa nini tena waliitaka Cocacola wakati walikuwa na soda yao ya "Kizalendo" na ilikuwa inauza sana?? Na unajua kwamba Cocacola iliporudi na Campa cola ilikufa??

Jee vizazi vipya vya nchi zilizomo BRICS wanapenda kuishi maisha kama ya Marekani au kama ya hizo nchi zinazoungana kupambana na Marekani? Kizazi cha uhasama na Marekani kinazidi kutokomea. Unadhani ni kwa nini China inazuia Google kufanya kazi nchini mwao?
 
Ni kweli US hawezi kuona utawala wake unaangushwa kienyeji. Rupee, Yuani, Rubble zipo backed na Gold yaani value zake ni derived na gold tofautina dollar.
Hicho ndio kinaipa confidemce ingawa badoni ndogo. Ona kinachotpkea kwa bank kubwa kwa sasa ulaya na US. Ikishika kasi ndio mwisho wa Dollar. Fedha mbadala kwa sasa ni Yuani.
Shida ya China kwa sasa ,currency yao bado itachukua muda kwa kuwa haja invest sana kwenye mataifa mengi.Na wakisema wa backed na gold ,nchi yenye reserve kubwa ya gold ni marekani mpaka sasa na wanaweza kui subortage yuan na ndio maana mwarabu ajaingia sana kwenye hiyo .Nikupe mfano wa Euro ,mwingireza alikataa na akabaki na Pound yake bado hawajaweza kumwangusha Paund ingawa Euro ina nguvu kuliko dollar bado dolar inasimama kama "most traded currency" ingawa ina value ndogo kuliko Euro na Paund.
 
DU tell me dollar iko backed na kitu gani?
Dollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.
 
Juzi tu hapa nacy pelosi katua Taiwan , licha ya mikwara tele ya China,
Huawei kapotezwa , na si kampuni ya kwanza china kufanyiwa hivyo.
Marekani ndiye mnunuzi wa faida kwa China, hakuna nchi Moja inayofanya biashara kubwa kama China na Marekani.

Wanamiliki patents nyingi wakiamua kukufungia wanakukaba haswa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Shida ya China kwa sasa ,currency yao bado itachukua muda kwa kuwa haja invest sana kwenye mataifa mengi.Na wakisema wa backed na gold ,nchi yenye reserve kubwa ya gold ni marekani mpaka sasa na wanaweza kui subortage yuan na ndio maana mwarabu ajaingia sana kwenye hiyo .Nikupe mfano wa Euro ,mwingireza alikataa na akabaki na Pound yake bado hawajaweza kumwangusha Paund ingawa Euro ina nguvu kuliko dollar bado dolar inasimama kama "most traded currency" ingawa ina value ndogo kuliko Euro na Paund.
Yuan itafanikiwa kwa Urusi pekee
Kwa Afrika bado tutaendelea hitaji Dollars ili tulipe madeni.

China bado anaihitaji Dollar sababu anafanya biashara kubwa na Marekani

Ukiangalia hapo Marekani ni #3 yeye pekee amenunua na kuuziana miizigo mingi

Hao wengine ni jumuisho za nchi zaidi ya 80
IMG_20230328_130814.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Dollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.
Na hapo Yuan iko controlled ili bei yake isipande sana hadi kulingana na dollar maana watakosa wanunuzi wa bidhaa zao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Dollar currency most "traded currency" na kuna currencies kama mbili au tatu ziko strong than dollar kama Paund na Euro lakini bado hazitumiki kama Dollar.Yuen na hizo nyingine zinaweza kuwa strong lakini bado zisiwe most traded currencies..Bado Mnunuzi mkuu duniani wa bidhaa za China ni US.
Ni sahihi the way malipo yanafanyika ni based on balance of trade. Kama umenunua vitu vya value ya 20 dollar nami nimekuuzia vya 20dollar hiyo ni balance of trade hivyo hunilipi chochote na sikupi chochote.
 
Ukiangalia hapo Marekani ni #3 yeye pekee amenunua na kuuziana miizigo mingi
Na ukiangalia kwa karibu utaona hizo takwimu zinaongea kwa sauti kwamba Uchina inaitegemea zaidi Marekani kwa soko kuliko Marekani inavyoitegemea Uchina.

Kwa mfano unaposema ASEAN yaani The Associatioi of Southeast Asian Nations unamaanisha ni nchi kumi kwa Pamoja na hizo nchi zina uchumi mkubwa kuliko nchi nyingi za Afrika. ASEAN ina nchi kama Brunei, Cambodia, Indonesia, Laos, Malaysia, Myanmar, Philippines, Singapore, Thailand, na Vietnam. Yaani hizi nchi kwa ujumla wake ndiyo zimempiku Marekani kwa kufanya biashara na China.

Kundi la pili ni Umoja wa ulaya, ambalo lina nchi zifuatazo; Austria, Ubeligiji, Bulgaria, Croatia, Jamhuri ya Cyprus, Jamhuri ya Czech, Denmark, Estonia, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ugiriki, Hungary, Ireland, Italia, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Uhalanzi, Poland, Ureno, Romania, Slovakia, Slovenia, HIspania na Sweden.

Ukiziangalia nchi hizo za ulaya na ukubwa wa chumi zake, lakini zote kwa umoja wao ndiyo zimeifanya Marekani iwe ya Tatu, Sasa kumbe kwa maana nyingine hizo nchi moja moja haziwezi kufikia kiwango cha Biashara ambacho Marekani inafanya na China.
 
Ni sahihi the way malipo yanafanyika ni based on balance of trade. Kama umenunua vitu vya value ya 20 dollar nami nimekuuzia vya 20dollar hiyo ni balance of trade hivyo hunilipi chochote na sikupi chochote.
Lakini kwa bahati mbaya sana mlingano wa kibiashara kwa nchi maskini na nchi tajiri ni mdogo sana.
 
[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.

Nilishasema warabu hawana akili
Hakuna umaskini mbaya Kama kukosa ajili na maarifa,
Kwani hujui ili kitu kife mojawapo ya sifa ni umri mrefu, think BFR posting rubbish
 
Hakuna umaskini mbaya Kama kukosa ajili na maarifa,
Kwani hujui ili kitu kife mojawapo ya sifa ni umri mrefu, think BFR posting rubbish
Sasa umri mrefu wa sarafu ni miaka mingapi?? Kwanza kazi ya kwanza ya sarafu ni nini na kwa nini watu mnadhani ni Dollar pekee ndiyo inaathirika na mabadiliko ya Teknolojia na nadharia za kuendesha uchumi duniani??
 
USD itapata msukosuko ila haitaondoka jumla, itaendelea kuwepo na tutaendelea ihitaji.
Mchina ataendelea miliki dollar nyingi sababu ya biashara yake na Marekani,Marekani hatahitaji Yuan

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom