Songopwe
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 459
- 526
Kuna watu hawaipende Marekani sijui ni kwa nini,!Mkuu,kwa bahati mbaya ni watu wachache wanao liona hilo - wengine wanakuja ba hoja za ajabu eti dollar imeanza kutimika kwenye masuala ya biasharana uchumi eti nani mwenye ubavu wa kuidhoofisha matimizi yake Duniani - hawasomi hata strategy ambazo wenzake wamepanga to cut to size matumizi ya dollar Duniani - akisoma/angalia kwa umakini bula ya kusukumwa na ushabiki utaona wazi wazi kwamba jamaa wamekwisha anza kufanikiwa kikubwa, ni suala la muda tu kabla Dollar haijafa kifo kama cha British Sterling mapema kwenye karene ya kumi na tisa - someni vizuri kilicho andikwa humu including na reference ili ujilidhishe - sio mambo ya kubuni, mataifa mengi yamekwisha kata shauri kuachana na matumiza ya dollar.
Marekani ndo lilikuwa Taifa la kwanza kukomesha biashara ya utumwa duniani lakini waarabu wakataa kuachana na biashara hiyo ya utumwa.
Marekani na mataifa ya Ulaya yakawa yanawawinda hao waliokataa na kuwashambulia na kuwanyang'anya hao watumwa na kuwarudisha makwao.
Hapo ndo uadui ukaanza kati ya Marekani na waarabu hadi leo