Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Mkuu,kwa bahati mbaya ni watu wachache wanao liona hilo - wengine wanakuja ba hoja za ajabu eti dollar imeanza kutimika kwenye masuala ya biasharana uchumi eti nani mwenye ubavu wa kuidhoofisha matimizi yake Duniani - hawasomi hata strategy ambazo wenzake wamepanga to cut to size matumizi ya dollar Duniani - akisoma/angalia kwa umakini bula ya kusukumwa na ushabiki utaona wazi wazi kwamba jamaa wamekwisha anza kufanikiwa kikubwa, ni suala la muda tu kabla Dollar haijafa kifo kama cha British Sterling mapema kwenye karene ya kumi na tisa - someni vizuri kilicho andikwa humu including na reference ili ujilidhishe - sio mambo ya kubuni, mataifa mengi yamekwisha kata shauri kuachana na matumiza ya dollar.
Kuna watu hawaipende Marekani sijui ni kwa nini,!
Marekani ndo lilikuwa Taifa la kwanza kukomesha biashara ya utumwa duniani lakini waarabu wakataa kuachana na biashara hiyo ya utumwa.
Marekani na mataifa ya Ulaya yakawa yanawawinda hao waliokataa na kuwashambulia na kuwanyang'anya hao watumwa na kuwarudisha makwao.
Hapo ndo uadui ukaanza kati ya Marekani na waarabu hadi leo
 
Ni kweli hata Saudi Arabia ilikuwa inaunga mkono BRICS siku nyingi tu lakini ilikuwa inaifanya kama siri - miaka kama minne mitano hivi iliyo pita Sweden na Norway walitaka kutuma maombi ya kujiunga kwa kuwa BRICS si taasisi ya kijeshi bali ya kifedha na Uchumi walisema hawawezi kupuuzia taasisi kama hiyo, lakini Merikani imepania kuipiga vita taasisi ya BRICS kwa kueneza propaganda za uongo kupitia MSM zao na social media zao zenye lengo la kuiharobia sifa BRICS - ndio walivyo.

Nina uhakika mkutano wa August mataifa mengi yatatuma maombi ya kujiunga na BRICS - Dunia imekwisha shuhudia madhara ya kiuchumi yanayo letwa/sababishwa na vita ya Ukraine - hasa hasa mashinikizo ya Merikani ya kulazimisha hasa mataifa ya Ulaya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi chungu mzima Urusi, vikwazo hivyo vya kijinga vimezi athiri sana Mataifa ya Ulaya na pamoja na Dunia nzima, Urusi hakiadhirika sana.

Kutokana ujinga wa Merikani kulazimisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi hivi sasa Ulaya nzima ajila zimepungua sana, viwanda vinafungwa, bei zanishati ya gesi imepanda mara nne kwa bei ya soko, we fikiria viongozi wa Ulaya walivyo wa ajabu wanakibali shinikizo la Merikani la kununua LNG inayo safirishwa kutoka Merikani kuja Ulaya na kuuzwa mara nne ya bei ya soko ndio maana Merikani ilihujumu mradi wa gesi wa Nord1&2 kati ya Urusi na Ujerumani na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa zinategemea sana gesi ya Urusi ambayo ilikuwa inauzwa kwa bei ndogo sana kila raia alikuwa ana afford kulipa - sio hivi sasa, Wamerikani walifanya hujuma hizo hili wapate faida kubwa.

Binafsi nina imani kwamba viongozi wa Ulaya na Raia kuna kitu wamejifunza kuhusu ubaya wa kufuata blindly foreign policy za Merikani, ambazo hivi sasa zinawa cost an arm and leg.
Kaandae futali Sasa umeshinda.
 
Kuna watu hawaipende Marekani sijui ni kwa nini,!
Marekani ndo lilikuwa Taifa la kwanza kukomesha biashara ya utumwa duniani lakini waarabu wakataa kuachana na biashara hiyo ya utumwa.
Marekani na mataifa ya Ulaya yakawa yanawawinda hao waliokataa na kuwashambulia na kuwanyang'anya hao watumwa na kuwarudisha makwao.
Hapo ndo uadui ukaanza kati ya Marekani na waarabu hadi leo
Wengi wao ni Waislamu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ngoja waje na magari ya maji na majenereta ya maji ndio utajua Kwamba mafuta ni useless
 
Na ndio maana West wanagombania sana kuachana na Mafuta maana ndo pekee yanampa kiburi Iran,Venezuela, Russia,Saudi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hawaipende Marekani sijui ni kwa nini,!
Marekani ndo lilikuwa Taifa la kwanza kukomesha biashara ya utumwa duniani lakini waarabu wakataa kuachana na biashara hiyo ya utumwa.
Marekani na mataifa ya Ulaya yakawa yanawawinda hao waliokataa na kuwashambulia na kuwanyang'anya hao watumwa na kuwarudisha makwao.
Hapo ndo uadui ukaanza kati ya Marekani na waarabu hadi leo

Labda nikusahihishe kidogo mkuu, walio pitisha sheria ya komesha biashara ya utumwa ni Bunge la Uingereza mwaka 1807 lilo shinikizwa na William Wilberforce kwa muda mrefu, mwishowe alikuja kufanikiwa.
 
Mbona hiyo habari iko tangu mwaka 2009 ilipoanzishwa BRICS!! Yaani wewe unauza mkaa na jirani yako anafungua banda la mkaa, unaweza kweli usijali? Kinachoongelewa hapo jee ikifanikiwa itakuwaje na siyo kwama imefanikiwa. Kwenye kila sentensi kuna neno "If" kitu kinachoonesha hapo wamarekani wanahimizana kuwa macho.

Jee BRICS iko imara kiasi hicho au mahasimu wa Marekani yaani Urusi na China ndiyo wanaibeba? Unajua kwamba India miaka ya nyuma walishawahi kuifungasha virago kampuni ya Cocacola kwa miaka 16 na baadae wakaomba iwekeze tena India?? Unajua ni kwa nini waliirudisha Cocacola wakati walikuwa na Soda yao inauza sana ya "Campa Cola"? Kwa nini tena waliitaka Cocacola wakati walikuwa na soda yao ya "Kizalendo" na ilikuwa inauza sana?? Na unajua kwamba Cocacola iliporudi na Campa cola ilikufa??

Jee vizazi vipya vya nchi zilizomo BRICS wanapenda kuishi maisha kama ya Marekani au kama ya hizo nchi zinazoungana kupambana na Marekani? Kizazi cha uhasama na Marekani kinazidi kutokomea. Unadhani ni kwa nini China inazuia Google kufanya kazi nchini mwao?
We jamaa unafuatilia habari za mwaka 2009 leo 2023? Kumbe na argue na mtu ambaye hana ajualo kwenye siasa za dunia ya leo Pole bro.
 
Na hapo Yuan iko controlled ili bei yake isipande sana hadi kulingana na dollar maana watakosa wanunuzi wa bidhaa zao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata Yen ya Japan wana control sana currency yao.So BRICS wanaweza kufanikisha iwapa currency yao itakuwa most traded otherwise dollar itaanguka sawa ,watu watainunua sana ,then itarudi.BRICS is only 40% ya uchumi wa dunia.China yeye anataka biashara ,anapuliza na kuuma.Akiona mteja wake mkubwa (Ulaya na Marekani)
 
Back
Top Bottom