Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Kuna watu hawaipende Marekani sijui ni kwa nini,!
Marekani ndo lilikuwa Taifa la kwanza kukomesha biashara ya utumwa duniani lakini waarabu wakataa kuachana na biashara hiyo ya utumwa.
Marekani na mataifa ya Ulaya yakawa yanawawinda hao waliokataa na kuwashambulia na kuwanyang'anya hao watumwa na kuwarudisha makwao.
Hapo ndo uadui ukaanza kati ya Marekani na waarabu hadi leo
 
Kaandae futali Sasa umeshinda.
 
Wengi wao ni Waislamu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ngoja waje na magari ya maji na majenereta ya maji ndio utajua Kwamba mafuta ni useless
 
Na ndio maana West wanagombania sana kuachana na Mafuta maana ndo pekee yanampa kiburi Iran,Venezuela, Russia,Saudi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 

Labda nikusahihishe kidogo mkuu, walio pitisha sheria ya komesha biashara ya utumwa ni Bunge la Uingereza mwaka 1807 lilo shinikizwa na William Wilberforce kwa muda mrefu, mwishowe alikuja kufanikiwa.
 
We jamaa unafuatilia habari za mwaka 2009 leo 2023? Kumbe na argue na mtu ambaye hana ajualo kwenye siasa za dunia ya leo Pole bro.
 
We jamaa unafuatilia habari za mwaka 2009 leo 2023?
Aisee!!

Nimekuwekea huo mwaka kukwambia kuwa hiyo habari siyo mpya. Mbona kuna hoja za msingi zipo. Wewe umeona mwaka 2009 tu!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na hapo Yuan iko controlled ili bei yake isipande sana hadi kulingana na dollar maana watakosa wanunuzi wa bidhaa zao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata Yen ya Japan wana control sana currency yao.So BRICS wanaweza kufanikisha iwapa currency yao itakuwa most traded otherwise dollar itaanguka sawa ,watu watainunua sana ,then itarudi.BRICS is only 40% ya uchumi wa dunia.China yeye anataka biashara ,anapuliza na kuuma.Akiona mteja wake mkubwa (Ulaya na Marekani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…