Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

Kuna vitetesi tetesi Marekani anataka Kuigawa Hio Nchi kuwe na Israel na Palestina Chini ya Saudia, ndio maana wanatoka toka.
Netanyahu juzi kaweka wazi kuwa.
HAKUBALIANI NA SUALA LA KUUNGWA KWA TAIFA LA PALESTINA.
Anachotaka yeye Occupied westbank na Gaza ziendelee kuongozwa chini ya occupied government kama siku zote.
 
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
unajuwa wapalestina ndo walikataa two state solution hapo mwaka 1948 , muwe mnasoma historia badala ya kuweka udini , walichagua vita wakiamin wangewafuta waisrael ila ubao umegeuka wanaomba two state solution
 
1947 mipaka ilishachorwa brothee na kila mmoja alipewa taifa lake.
Njia ya Palestina kupata uhuru kutoka kwa UK ilikua ni kukubali kuwepo na taifa la Israel na 1947 UK ndiye aliyechora mipaka.
Ila cha ajabu Palestina ikiunda serikali Israel ikaanza expansion tena sio tu Palestina mpaka Syria.
 
Kama umeshindwa kuona ushindi huo basi hujawahi kusikia habari za teknolojia inayosifiwa nayo Israel na wala hujaona wingi wa vifaru na ndege za kivita ilivyonavyo.
hv una akili timamu , vita gan umewai isikia wanajeshi hawafi
 
Netanyahu juzi kaweka wazi kuwa.
HAKUBALIANI NA SUALA LA KUUNGWA KWA TAIFA LA PALESTINA.
Anachotaka yeye Occupied westbank na Gaza ziendelee kuongozwa chini ya occupied government kama siku zote.
Ana ubAvu wa kuwadindia USA? Yule ni kibaraka kama vibaraka wengine, wakistopisha mirija USA hapo hapo Israel watampindua wenzake.

Kuna Diplomats wengi sana Wa USA wapo against hii vita, na Kila siku wanazidi kuongezeka, issue ya Taifa la Palestina Kila siku inazidi kuzungumzwa.
 
Ngoja tuone ila yeye analipinga aisee.
Ngoja tuone litaishia wapi.
Ila ikatokea Palestina akawa na taifa na jeshi kamili itakua ni janga kwa Israel.
 
Ninachofahamu ni kwamba hao magaidi wa Hamas hawawezi tena kuitawala Gaza kama hiyo Gaza itaendelea kubaki. Time will tell.
Wachambuzi wa vita mahiri na viongozi wa juu wa Israel wamesema kuishinda Hamas haiwezekani,Wewe unakuja na stori zako za urojo.
 
Iran mwenyewe hajafanya Kama houthi japo ni proxy yake,huwezi ingiza nchi vitani wakati unasaka maendeleo ya kiuchumi na kijamii,ni heri utumie proxy au msaada mwingine,nadhani hakuna nchi inayotoa hela nyingi kwenda Palestine kuzidi saudia
Sasa mbona hata hiyo proxy Saudia hajafanya.
Na vile vile kuna hali unaweza ujkafanya proxy war na kuna hali lazima utoke mzima mzima.
Kwa ujumla anayefanya hiyo vita ya chini kwa chini basi lazima atajitokeza muda kama huu ambao Gaza inafanyiwa kufru kubwa na Israel.
Angalia Qattar jinsi anavyohangaika na vita vya Gaza kwa vile yeye ndiye alikuwa anapeleka misaada mingi Gaza.
 
Ila kaka itakua habari kuhusu Saudi Arabia ilikupita.
Siku Alshifah hospital inalipuliwa King Abdullah wa Jordan na Crown Prince wa Saudia walitoa reaction kwa wakati mmoja.
Jordan ilifunga balozi ya Israel na kufuta uhusiano nao mazima na Saudia ilisitisha mpango wa kuitambua Israel middle east na walisema wazi kuanzia sasa Saudia haiitambui Israel kama ni taifa middle east.
Hii habari kaka itakua ilikuponyoka.
Kitu kidogo sana hicho walichofanya.Angalia tukio la Alshifa lilikuwa liko mwezi wa mwanzo wa vita.Kuna makubwa kuliko Alshifa yamefanyika na hatujawasikia tena hao Saudia na Jordan.
 
Hamas hawezi kushinda vita jamani. Labda kujipa tu moyo . Gaza imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Voimo vyako vya kushinda na kushindwa vina walakini.
Wale wanaopima kulingana na malengo yaliyotajwa na Israel wanasema mpaka sasa ameshindwa.
 
Sijaelewa kushinda njaa au kushinda magoli mpirani.......maana leo nimeona tweeter jamaa (mayahudi) yanajigamba Khan younis tayari wameimaliza kira upande ukiwa ni mji wa pili kwa ukubwa sasa tena wewe Alwaz Unakuja kupiga ngonjera gani tena ..............
 
Hata israhell labda ashinde na njaa
Watu wametandikwa , wake zao na watoto wameuliwa uku wao wakitoa vichwa wanachungulia kutoka kwenye mashimo ya fuko wanaume wazima wanalia kama watoto,

Alafu wewe inakuja kusema wameshinda 😂😂😂 Yani wapalestina wakikusikia unasema wameshinda wataanza na wewe watakukata masikio na sime
 
Ngoja tuone ila yeye analipinga aisee.
Ngoja tuone litaishia wapi.
Ila ikatokea Palestina akawa na taifa na jeshi kamili itakua ni janga kwa Israel.
Ndio maana wanataka Saudi acontrol Palestine, hii Dunia kuielewa ni rahisi sana, hao wanaoanzisha vita Kila siku ni waabudu pesa, USA dont care nani yupo pale as long as objective zake zinakwenda. Kama Saudi Atachimba hio gesi na Kuuza West yupo radhi. Alieanzisha hio idea ni Blinken mwenyewe.
 
Sasa mbona hata hiyo proxy Saudia hajafanya.
Na vile vile kuna hali unaweza ujkafanya proxy war na kuna hali lazima utoke mzima mzima.
Kwa ujumla anayefanya hiyo vita ya chini kwa chini basi lazima atajitokeza muda kama huu ambao Gaza inafanyiwa kufru kubwa na Israel.
Angalia Qattar jinsi anavyohangaika na vita vya Gaza kwa vile yeye ndiye alikuwa anapeleka misaada mingi Gaza.
Hamas kudinda mpaka Sasa kunahitaji mengi ndugu,pesa,silaha nk,hujui wanapata wapi,sidhani Kama Iran ana uchumi wa kuweza kufadhili hilo
 
Hamas kudinda mpaka Sasa kunahitaji mengi ndugu,pesa,silaha nk,hujui wanapata wapi,sidhani Kama Iran ana uchumi wa kuweza kufadhili hilo
Anao bro tena sana tu.
Kama aliwafadhili Yemen Houthi kuanzia 2014 mpaka 2021 hawezi kushindwa kuwafadhili Hamas ila nahisi atawafadhili kupitia Hizbollah.
 
Gaidi likijeruhiwa linakimbilia hospitalini kijificha Inabidi hospital Ifutwe Yote Kwa Gaidi Mmoja ndo Jibu Vita Ni Vita Muraa
 
Kwa hiyo ulitaka saudi arabia asiuze mafuta kwa israel akuuzie ww? Sjajua unafikiria nn yaani ugomvi wa majirani uninyime ridhiki yangu ya kufanya biashara huo ni upuuz.
 
Kwa hiyo ulitaka na saudi akapigane? Mbona unateseka sana yaan nguvu zangu na pesa zangu unipangie kwa kuzipeleka. Kama ile vita kwako ina interest nenda katoe msaada. Sio kulazimisha watu waamin unachotaka ww
 
Saudi Arabia wanatumia akili kuwaza kuwa heri kuwe na mataifa mawili Israeli ili kuwe na utulivu kuliko Hali ya Sasa ambayo inaleta Hali tete na vifo kibao vingi Kwa wapalestina na Palestina maghorofa kushushwa chini na kuwa viwanja vya mpira
 
Back
Top Bottom