Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

Sasa mbona hata hiyo proxy Saudia hajafanya.
Na vile vile kuna hali unaweza ujkafanya proxy war na kuna hali lazima utoke mzima mzima.
Kwa ujumla anayefanya hiyo vita ya chini kwa chini basi lazima atajitokeza muda kama huu ambao Gaza inafanyiwa kufru kubwa na Israel.
Angalia Qattar jinsi anavyohangaika na vita vya Gaza kwa vile yeye ndiye alikuwa anapeleka misaada mingi Gaza.

Ndugu inabid uunde taifa lako na majeshi na mifumo ya ulinzi wa anga ukaisaidie hamasi na gaza dhid ya israel. Usilazimishe mataifa ya watu yenye aman kuingilia vita isiyowahusu.
 
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Waislamu hamna akili kabisa eti Hamas wameshinda,IDF wapo gaza wanatembeza kichapo afu unaleta porojo za masjid hapa
 
Back
Top Bottom