Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

Hivi sisi Tanzania hatuwezi nasisi kubuni kitu kitakachofanya maelfu ya watu wawe wanakuja kuhiji hapa kwetu tupige hela ndefu..?
 
Jiwe jeusi,limesimikwa kule maka,ona hapa video namna jiwe hilo linavyoabudiwa na waarabu
 

Attachments

  • jiwe_jeusi_la_makka_la_abudiwa_na_warabu_h264_57486.mp4
    15.3 MB
Na haya ni mapenzi ya Mungu au miundombinu isiyofaa kutokana na idadi au ushauri wa kiafya kwa wanaokwenda huko ?

Anyway RIP...
 
Imebaika pia kuwa Hijja inatokana Upagani; si hilo tu kitabu chenyewe kina makosa ya kipuuzi kibao😁 una hapa chini

View: https://youtu.be/F0Wjr2Hd7EY?si=6wCo-TyP78HiLRLZ
 
Hicho ni kifo ambacho waumini watakipenda sana.

Ikiwa ni lazima ufe, na unaweza kufa popote, kwa muumini kufa wakati wa hajj ni kifo kizuri sana.

Yani katika historia yako unaonekana umefia katika Hajj Mecca huko.
Polepole umeanza kutuelewa😀

Tell me. the day you are dead, not wishing though, but then how are you going to buried/ cremated ?
Even these cremation, there is religious rituals taken place, especially Christians
Have you made a will that you don't want your burial to be conducted in any religious rituals ?
 
Labda wewe ndiye hujanielewa mimi.

Nikifa mimi na nitakavyozikwa wewe inakuhusu nini?
 
Huko hakufai wanalazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…