Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

Jiwe jeusi,limesimikwa kule maka,ona hapa video namna jiwe hilo linavyoabudiwa na waarabu
Hivi hii haina tofauti na ile wanayotunanga wakatoliki Sanamu la Bikira Maria au ndio nyani haoni......
 
Huo nao ni ushahidi hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Angekuwapo, angenipa maamuzi.

You are making my point. Without knowing it.
Kawaida unapenda higgidy piggidy tactics kumtoa mtu kwenye reli
 
Ilaumiwe RSA kwa kutokua na mipango mizuri ya kulinda uhai wa binadam, so primitive
 
Kawaida unapenda higgidy piggidy tactics kumtoa mtu kwenye reli
Reli ni kwamba Mungu hayupo.

Umejaribu kunitoa kwenye reli kwa kuniambia kuwa sina maamuzi kuhusu kifo.

Nakurudisha relini kwa kukuambia kuwa hata mimi kutokuwa na maamuzi kuhusu kifo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, angekuwapo, angenipa uchaguzi.

Umeshindwa kujibu hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Ad hominem attack, logical fallacy.

Tabia ya watu wasio na hoja.
 
R.i.P Classmates...[emoji26]
Uzuri mlikua mnamtafuta Allah...[emoji854]
Inabidi pia kuwe na jaribio la kutengeneza ile barafu artificial wanayotengeneza Dubai ili kuepuka heat kali.[emoji2415][emoji2414][emoji3509]
 
Nakurudisha relini kwa kukuambia kuwa hata mimi kutokuwa na maamuzi kuhusu kifo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, angekuwapo, angenipa uchaguzi.
Hii ndio logical fallacy from Argumentum ad Ignorantiam point of view
If not P then not Q, because there is no P then, definitely there will be no Q

Umeshindwa kujibu hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Ad hominem attack, logical fallacy.

Tabia ya watu wasio na hoja.
Sijakushambulia kwa sababu umesema hakuna mungu, I call you out sababu swali langu lilikuwa, kwa kuwa huamini mungu wala dini, je mazishi yako yataendeshwa kwa kufuata njia ipi, bear in mind labda una ndugu wakristo au waislamu,
Instead umezungaka na kuleta stori ya uwepo an kutokuwepo kwa mungu, mimi sikukuliza kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa mungu.
 
Inahuzunisha watu kufa hivi bila wokovu, wanafia kwenye uabudu wa vitu vya ajabu.
 
Kama wenyewe wanaamini wanaenda peponi wewe kinachokuuma au kukuhuzunisha ni nini? Acheni watu waabudu kile wanachokiamini ni free World kila mtu ana haki ya kuabudu anachotaka
Ungekutana nao enzi za jihadi wakati wanaeneza dini uwaambie una haki ya kuabudu dini nyingine jambia lingekupitia ww. Una bahati umezaliwa kipindi hiki
 
Mungu akiangalia mambo tunayofanya anashangaa tu ww Tangu lini Sehem ya kuomba msamaha iwe saudia jamani hivi hizi akili Mungu alitupa za kuvukia barabara.Mungu atusamehe sana
Kwahiyo kwenda kuungama kwa mchungaji sjui paroko, askofu and the like halafu akuambie umesamehewa ndio sawa? Wakati yeye mwenyewe ana yake anapaswa atubu pia?
 
Hii ndio logical fallacy from Argumentum ad Ignorantiam point of view
If not P then not Q, because there is no P then, definitely there will be no Q


Sijakushambulia kwa sababu umesema hakuna mungu, I call you out sababu swali langu lilikuwa, kwa kuwa huamini mungu wala dini, je mazishi yako yataendeshwa kwa kufuata njia ipi, bear in mind labda una ndugu wakristo au waislamu,
Instead umezungaka na kuleta stori ya uwepo an kutokuwepo kwa mungu, mimi sikukuliza kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa mungu.
Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Mimi nakwambia Mungu huyo hayupo, defining characteristics zake zinatengeneza internal contradiction.

Ukikataa hilo, umekataa logic yote, na hata hapo napo bado hujathibitisha Mungu yupo.

In fact, umekataa hoja zote za kuwapo Mungu zinazotumia logic.

Can you even get that through your head?

Kuhusu mazishi.

Nimekuuliza mazishi yangu wewe yanakuhusu nini?

Yani mazishi yangu, wewe yanakuhusu nini? Kwa nini hata unataka kujua yatakuwaje? Ni kitu gani kinakufanya ujisikie kuwa una haki ya kujua mipango yangu ya mazishi yangu?

Hujanijibu.

You are not important enough to me for me to disclose that to you.

That is a private matter for me to know and you to obsess about fruitlessly.

It is also a logical non sequitur fallacy as far as my main point regarding God not existing.

You are really boring me with your personal obsession, it feels like you are trolling me personally because you have no point to defend your positions, that is so shallow.
 
Babu wa Loliondo alifanikiwa ila mwendelezo hamna
Kuna sehemu niliwahi kusikia kuna chemchem ya maji ambayo yanaponya magonjwa sikumbuki ni maeneo ya kusini huko. Sasa ishu kama ile ilitakiwa nchi tuibebee kidedea tupige propaganda hilo eneo pajengewe vizuri patangazwe kitaifa na kimataifa utashangaa watalii lukuki wanamiminika. Sisi hatujakaa kijanja kabisa.
 
Kwahiyo kwenda kuungama kwa mchungaji sjui paroko, askofu and the like halafu akuambie umesamehewa ndio sawa? Wakati yeye mwenyewe ana yake anapaswa atubu pia?
Vyote viwili sio sawa ni ukosefu wa akili.
 
Takriban Mahujaji 323 kutoka Misri wamekufa wakati wa Hijja ya Waislamu huko Mecca, Saudi Arabia, ambapo karibu wote walikufa kutokana na magonjwa yanayohusiana na joto, wanadiplomasia wawili wa Kiarabu waliiambia kwa AFP leo.

Vifo hivi vinafikisha idadi ya watu 577 iliyotangazwa na nchi tofauti, miili 550 imesafirishwa hadi katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Al-Muaisem.

=============


At least 550 pilgrims have died during the hajj, with this year's pilgrimage in Saudi Arabia again unfolding amid scorching temperatures.

At least 323 of those who died were Egyptians, most of them succumbing to heat-related illnesses, two Arab diplomats coordinating their countries' responses told AFP.

"All of them [the Egyptians] died because of heat" except for one who sustained fatal injuries during a minor crowd crush, one of the diplomats said, adding the total figure came from the hospital morgue in the Al-Muaisem neighbourhood of Mecca.

At least 60 Jordanians also died, the diplomats said, up from an official tally of 41 given earlier on Tuesday by Amman.

The new deaths bring the total reported so far by multiple countries to 577, according to an AFP tally.

The diplomats said the total at the morgue in Al-Muaisem, one of the biggest in Mecca, was 550.

The hajj is one of the five pillars of Islam and all Muslims with the means must complete it at least once.

The pilgrimage is increasingly affected by climate change, according to a Saudi study published last month which said temperatures in the area where rituals were performed were rising 0.4 degrees Celsius each decade.

Temperatures hit 51.8C at the Grand Mosque in Mecca on Monday, the Saudi national meteorology centre said.

Thousands treated for heat stress

Earlier on Tuesday, Egypt's foreign ministry said Cairo was collaborating with Saudi authorities on search operations for Egyptians who had gone missing during the pilgrimage.

While a ministry statement said "a certain number of deaths" had occurred, it did not specify whether Egyptians were among them.

Saudi authorities have reported treating more than 2,000 pilgrims suffering from heat stress but have not updated that figure since Sunday and have not provided information on fatalities.

At least 240 pilgrims were reported dead by various countries last year, most of them Indonesians.

AFP journalists in Mina, outside Mecca, on Monday saw pilgrims pouring bottles of water over their heads as volunteers handed out cold drinks and fast-melting chocolate ice cream to help them keep cool.

Saudi officials had advised pilgrims to use umbrellas, drink plenty of water and avoid exposure to the sun during the hottest hours of the day.

But many of the hajj rituals, including the prayers on Mount Arafat which took place on Saturday, involve being outdoors for hours in the daytime.

Some pilgrims described seeing motionless bodies on the roadside and ambulance services that appeared overwhelmed at times.

About 1.8 million pilgrims took part in the hajj this year, 1.6 million of them from abroad, according to Saudi authorities.

Situation made worse by unregistered pilgrims

Each year, tens of thousands of pilgrims attempt to perform the hajj through irregular channels because they cannot afford the often-costly procedures for official hajj visas.

This places these off-the-books pilgrims at risk as they cannot access air-conditioned facilities provided by Saudi authorities along the hajj route.

One of the diplomats who spoke to AFP on Tuesday said the Egyptian death toll was "absolutely" boosted by a large number of unregistered Egyptian pilgrims.

"Irregular pilgrims caused great chaos in the Egyptian pilgrims' camps, causing the collapse of services," an Egyptian official supervising the country's hajj mission said.

"The pilgrims went without food, water, or air conditioning for a long time."

They died "from the heat because most people had no place" to take shelter.

Earlier this month, Saudi officials said they had cleared hundreds of thousands of unregistered pilgrims from Mecca ahead of the hajj.

Other countries to report deaths during the hajj this year include Indonesia, Iran and Senegal.

Most countries have not specified how many deaths were heat-related.

Saudi Health Minister Fahd bin Abdul Rahman Al-Jalajel said on Tuesday that health plans for the hajj had "been successfully carried out", preventing major outbreaks of disease and other public health threats, the official Saudi Press Agency reported.

Health officials "provided virtual consultations to over 5,800 pilgrims, primarily for heat-related illnesses, enabling prompt intervention and mitigating the potential for a surge in cases," SPA said.

AFP

PIA, SOMA:
MATUKIO YANAYOFANANA:
Kifo ni kifoo tu Haijalishi utafia wapi au Utafia nini cha msingi unatakiwa ufe huku ukiwa unamtafuta Muumba wako
 
PRIP wote waliotangulia mbele za haki.
Hivi Manaea na yule Chawa vile walienda haikuwa hija? Walienda hapohapo au kwingine?
I.ani, imani, imani, dini
 
Back
Top Bottom