Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

Kuna haja gani ya kwenda ktk kipindi hiki Cha joto Kali. Mbona kipindi Cha korona kulikuwa na restrictions. Mwisho mtupe tabu za michango ya kurudisha miili.
bila shaka sio Muslim ndio maana wasema hivi ila nikupe mfano mfupi utaelewa kwanini wanaenda ktk kipindi hiko ulichosema...hivi mkuu we tangu uje duniani ushawahi kuiona siku ya kuzaliwa Yesu ikawa ni tofauti na tarehe 25 December???
 
Madness
 
Kwa hiyo hapo watoto wa mnyaazi mungu wako peponi tayali na mizigo yao 72 wanaogelea kwenye mito ya pombe tamu 😆😆
 
Vikitokea vifo moja kati ya nchi za Afrika, au uzunguni basi mtatoa pole sana na kuhuzunishwa, ila kwakua ni waislamu na wamefarikia mji mtukufu wa makkah basi mtakejeli sana na kufurahia juu.

Hawatakuwa radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
 
Mara balozi zetu hushiriki. Ubalozi ukitoa pesa kusafirisha mwili wa mtazania hawatoa pesa mfukoni mwao ni Kodi yangu na yako.
Ni mwaka gani ubalozi ulisaidia hayo?
Most of the time mahujaji huzikwa huko huko........tangu lini ubalozi ukahusika kuleta maiti nchini?
 
bila shaka sio Muslim ndio maana wasema hivi ila nikupe mfano mfupi utaelewa kwanini wanaenda ktk kipindi hiko ulichosema...hivi mkuu we tangu uje duniani ushawahi kuiona siku ya kuzaliwa Yesu ikawa ni tofauti na tarehe 25 December???
Lakini kukiwa na tatizo waumini wataambiwa watulie makwao hiyo 22 Dec
 
Hicho ni kifo ambacho waumini watakipenda sana.

Ikiwa ni lazima ufe, na unaweza kufa popote, kwa muumini kufa wakati wa hajj ni kifo kizuri sana.

Yani katika historia yako unaonekana umefia katika Hajj Mecca huko.
Duh
 
Hivi sisi Tanzania hatuwezi nasisi kubuni kitu kitakachofanya maelfu ya watu wawe wanakuja kuhiji hapa kwetu tupige hela ndefu..?
Babu wa Loliondo alifanikiwa ila mwendelezo hamna
 
Kupitia huu utalii Saudi huingiza pesa huku watalii wakipoteza maisha.
 
Kupitia huu utalii Saudi huingiza pesa huku watalii wakipoteza maisha.
Mapato ni dunia nzima.Ni toka pale anayekwenda hija,akitoka nnchini kwao,analipia usafiri wa kuanzia anakoishi,mji atakaopanda ndege,hotel atakayolala,chakula atakachokula,usafiri atakaotumia,mavazi atakayovyaa,tiketi ya ndege atakayokata,wakala wa tiketi ya ndege,wote hao wanapata faida na serekali ya nchi yake inapata kodi kupitia hujaji huyu na wenzake kama yeye.Huu ni uchumi wa dunis nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…