Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Ushirika kama huo uliwahi kuwepo miaka ya nyuma ukiitwa "Non Aligned Movement" lakini ulikuja kufa baadaye sawa tu na huu nao utakavyokufa.

Hayo mataifa ya Brics bado yanahitaji sana kufanya biashara na Marekani na marafiki zake na hawawezi kufanya bila kutumia dola.

This is just the way the countries opposed to the US hegemony are trying to use to overcome their own frustrations but just like the defunct Non Aligned Movement, it will survive just like a burning matchstick before perishing away.
Kwa hio BRICKS waivunje?
Kwani male ho ys BRICKS ni kutokufanya biashara na NATO. Ni vizuri zaifi tungesoma malengo Ya BRICKS.
Hivi sisi goigoi tulieshindwa kila jambo tunaweza kuwabeza waliotuacha maili elfu?
Sisi tuwe waa galiaji tu pale wanaume wanapotunishiana misuli.
Niipongeze tu SA kuwepo kwenye waasisi wa jambo la kiume. Panya zimejificha ficha huko.
 
Akili zingine, hizo BRICS Zote wewe Una pesa yako Unataka kutunza utumie miaka kumi ijayo, utaweka kwenye pesa ya nchi gani?

Pesa zote hizo sio stable na zinaingiliwa na serikali.

Nchi zote hizo wanauza vitu vingi Usa kuliko wanavyouza kwa nchi nyingine.

Bado ni Safari ndefu sana mpaka kupata mbadala wa Usa
Nani kakwambia hizo nchi zote wanauza USA kuliko sehemu zingine? Weka data hapa Acha maneno
 
Wewe una akili kuliko zhi jin ping, Putin, Ramaphosa nk.
Wewe umeshindwa kuunganisha hata ukoo wako ymtu muwe na nguvu moja ndio uwe na akili kuliko viongozi wa BRICKS, hio ni utani.
Mkuu tutaniane sisi kwa sisi humu.
Tania ccm,tania chadema. achana na watu walio serious ba mambo yao, achana kabisa.
Mkuu na ww unaamini brics wako serious?[emoji16]
 
Mkuu na ww unaamini brics wako serious?[emoji16]
The Idea tu! achana na utekelezaji, nawapa 100.
Mchina hajawahi kosea karne hiii.
Wakati wewe unajiiliza, wenzio biashara zinafanyika bila DOLLAR.
MWAFRIKA hajawahi kujiamini, kwa hiyo ni sahihi wewe kukosa IMANI kwa sababu umo katka kundi la watu wasio jiamini.
Saudi Arabia hata kabla ya BRICKS alisha anza kuuziana mafuta na China bils Dollar, kwa hio wameisha anza kutekeleza kwa vitendo, nini kinifanye nisiwaaamini ?
Ingekuwa ni agenda ni ya AU ningekuwa sina Imani ila ni mataifa yanayojua nini maana ya kujitawala.
 
Huyo mbumbumbu hawezi kukuelewa sasa hivi ila baadae wataelewa.
Screenshot_20230827_081753_X.jpg
 
Akili zingine, hizo BRICS Zote wewe Una pesa yako Unataka kutunza utumie miaka kumi ijayo, utaweka kwenye pesa ya nchi gani?

Pesa zote hizo sio stable na zinaingiliwa na serikali.

Nchi zote hizo wanauza vitu vingi Usa kuliko wanavyouza kwa nchi nyingine.

Bado ni Safari ndefu sana mpaka kupata mbadala wa Usa
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom