Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Kumbuka, US siyo economic emerging country. BRICS karibu wote soko lao kubwa ni US, na partner wao mkubwa ni US.
Kwa umoja wao destination kubwa ya wananchi wao ni US.
China ni BRICS founder na India ni BRICS founder, lakini kati yao kuna sintofahamu, bifu na chuki. Undia wameongeza kodi kwa imports from China na wame ban some of their technology.
EAC ina solution zaidi kuliko BRICS.
Upo vikindu sehemu Gani mkuu?
 
Yani humu ndani kweli aliyesema mapenzi ni jambo au kitu fulani kunasababisha uwezo wa ubongo kupambanua mambo unapungua.
Watu wamewekewa hapo juu sifa za huo umoja na impact zake,

Wachambuzi wa kiuchumi Duniani kote hadi huko USA wenyewe wanakili kuwa umoja huo ni tishio la kiuchumi kwa western hasa kwa USA
Cha ajabu kuna wandengereko hapa Tanzania wanakuambia hakuna kitu kama hicho.

Haya tuhitimishe kwa kusema mpo sahihi kushinda wachambuzi wa Uchumi wa western-tuache muda uongee na tuwe hai.
Hawa ni wachumi kutoka igawa
 
Challenge za BRICS zitakua solved at win-win situation. Sio kama Leo US anataka kuwa giant na mshindi kukandamiza wengine. US amejiweka kiranja wa Dunia na anafanya lolote kwa yeyote. Huu umoja unaleta balance katika Dunia. BRICS imechukua wazlishaji wakubwa wa mafuta na pia wanunuzi wakubwa pia kama China na Brazil. Hakuna nguvu ya vikwazo vya US tena
Sasa kwa unavyo fikiria, Afrika ina uwezo wa kuingia kwenye Win-Win na India. Brasil, China na Russia and now Argentine and Saud Arabia?
Ni swala la muda kabla ya ya Africa kugundua kuwa imeingizwa huko ili kupunwa au kutumika kama silaha tu.
 
Akili zingine, hizo BRICS Zote wewe Una pesa yako Unataka kutunza utumie miaka kumi ijayo, utaweka kwenye pesa ya nchi gani?

Pesa zote hizo sio stable na zinaingiliwa na serikali.

Nchi zote hizo wanauza vitu vingi Usa kuliko wanavyouza kwa nchi nyingine.

Bado ni Safari ndefu sana mpaka kupata mbadala wa Usa
 
Ikiwa watatumia sarafu zao iwe ni wao wenyewe wanachama wa BRICS au na mataifa mengine yaliyoonyesha nia ya kujiunga na BRICS itaathiri dollar ya Marekani kwa sababu Mmarekani atajikuta amebaki na dollars ambazo hazipo kwenye mzunguko duniani

Na biashara ya mafuta ni mojawapo ya biashara inafanya dollar iwe na demand kubwa duniani
Tunapoenda Marekani atabaki na karatasi tu
 
Yani humu ndani kweli aliyesema mapenzi ni jambo au kitu fulani kunasababisha uwezo wa ubongo kupambanua mambo unapungua.
Watu wamewekewa hapo juu sifa za huo umoja na impact zake,

Wachambuzi wa kiuchumi Duniani kote hadi huko USA wenyewe wanakili kuwa umoja huo ni tishio la kiuchumi kwa western hasa kwa USA
Cha ajabu kuna wandengereko hapa Tanzania wanakuambia hakuna kitu kama hicho.

Haya tuhitimishe kwa kusema mpo sahihi kushinda wachambuzi wa Uchumi wa western-tuache muda uongee na tuwe hai.
Eti we naye ni mchumi.
We mkurya rudi Kiagata
 
Wabongo hampendi kuambiwa ukweli,
BRICS ni genge lingine la wanywa kahawa tu kama ilivyo AU.
Wabongo wengi wajinga
Wanajisajuli Green Card wakikosa wanapiga mayowe

Wanatumia systems za Marekani afu kelele nyingi
 
BRICS haiji na sarafu yake na wala haitakuwa na sarafu yake hata kwa miaka 50 ijayo.
Imekuwepo muda mrefu ila hakuna cha maana

Hapo sana sana labda kwenye mafuta
 
Matumizi ya dola yametutesa sana nchi masikini. Waangalie uwezekano wa ambao siyo wanachama kunufaika kwa namna fulani na arrangement za Brics.
Naomba utuelimishe tumetesekaje kwa matumizi ya dola?
 
Back
Top Bottom