tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Nchi hii ina vijana wa ovyo sana aisee. Mungu awahurumie.Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii ina vijana wa ovyo sana aisee. Mungu awahurumie.Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Wabongo hampendi kuambiwa ukweli,Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Da aisee umeongea nilivyokua nawaza yaani Kuna mawazo ya ajabu humu ni blaaa.Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Kweli kabisa.Sasa km vijana wenyewe ndiyo hawa wanaolawitiana, kusagana, kuvaa milegezo na vikuku miguumi unategemea wachangie nini positive. Wao muda wote wanawaza kunyanduana tu.
BRICS haiji na sarafu yake na wala haitakuwa na sarafu yake hata kwa miaka 50 ijayo.Da aisee umeongea nilivyokua nawaza yaani Kuna mawazo ya ajabu humu ni blaaa.
Watu wanaingiza tofauti zao humu za vita vya Ukraine na Brics.
Brics iianza Mika mingi kabla ya vita vya Ukraine.
Brics ni ishirikiano wa kiuchumi zaidi wala sio wa kijeshi kama NATO.
Brics inataka kuleta usawa wa kiuchumi,kibiashara na kimaendeleo.lkoni utakuta vijana wa kitanzania wanaiponda.
Brics itakua na benki Yao kubwa mfano wa WB lkn yenye mikopo na mashart nafuu kabisa.
Inashangaza mtu anakuambia Brics haitaishinda OPEC,mara hii yote ni kwa ajili ya kuikabili Marekani,mara umoja wa masikini,mara hawataizidi west.
Ukweli ni kwamba hii miungano ipo mingi TU duniani naniko kwa malengo na mahitajio tofautitofauti mfano AGOA,South commission n.k, Shanghai cooperation,n.k
Lkn ujio wa Brics umewatisha sana west na pro wao.
Sioni kama Brics imekuja kushindana na USA bali kujikomboa kutokana na ukoloni wa mifumo ya kiuchumi ya west.
Hii ni kwaida kama vile waafrika mfano tuna baadhi ya miungano yetu yenye malengo tofauti.
Mafani EAC,saddc,ecowas,n.k
Akili za baadhi ya vijana wa kitanzania zililiwa na Hollywood movies na kudhani kwamba USA ndio mbingu na Rais wa USA ndio Mungu mwenyewe kuwa USA haiwezi kuchallenjiwa na yoyote hapa duniani.
Miaka ya nyuma hapakua na European union,wala hapakua na sarafu ya euro.
Zilipoanzishwa kwa sababu ni za west watu hawakushangaa kwa sababu ni west,Leo inakuja Brics na sarafu yake watu wanaiponda.
Lkn nakuambia huko miaka ijayo brcs itapamba moto na baadae inaweza kuja Tena aina nyingine ya ushirikiano wenye malengo tofauti na hizi zilizopo nao utavuma na kusonga mbele.
Siku zote Dunia hubadilika na kuangalia mbele.
Hivi mkuu hayo mataifa yaliyojiunga na wewe ni nani mwenye anajua faida ya huo muungano?
Umekuwa mkosoaji wa hayo mataifa kwamba walikurupuka?
Ok Kwani hiyo EU na G7 si kuna mataifa yaliwahi kuwa maadui miaka hiyo na wakazichapa sana kwenye WWI na WWII mbona hatusikii mkisema hawawezi kusimama upande mmoja
Nikurekebishe kidogo Mexico sio member wa BRICS
Wewe una akili kuliko Xi Jinping ?Wabongo hampendi kuambiwa ukweli,
BRICS ni genge lingine la wanywa kahawa tu kama ilivyo AU.
Kweli kabisa,vijana wa kitanzania wa Leo wengi wanaona karibu,ni wachache sana wanaona mbali.Hatma ya hili taifa kwa kizazi tulicho nacho ni mbaya sana. Mungu saidia tu
Da Mkuu Vijana wa kitanzania ni janga kwa taifa.Yani humu ndani kweli aliyesema mapenzi ni jambo au kitu fulani kunasababisha uwezo wa ubongo kupambanua mambo unapungua.
Watu wamewekewa hapo juu sifa za huo umoja na impact zake,
Wachambuzi wa kiuchumi Duniani kote hadi huko USA wenyewe wanakili kuwa umoja huo ni tishio la kiuchumi kwa western hasa kwa USA
Cha ajabu kuna wandengereko hapa Tanzania wanakuambia hakuna kitu kama hicho.
Haya tuhitimishe kwa kusema mpo sahihi kushinda wachambuzi wa Uchumi wa western-tuache muda uongee na tuwe hai.
Challenge za BRICS zitakua solved at win-win situation. Sio kama Leo US anataka kuwa giant na mshindi kukandamiza wengine. US amejiweka kiranja wa Dunia na anafanya lolote kwa yeyote. Huu umoja unaleta balance katika Dunia. BRICS imechukua wazlishaji wakubwa wa mafuta na pia wanunuzi wakubwa pia kama China na Brazil. Hakuna nguvu ya vikwazo vya US tenaKumbuka, US siyo economic emerging country. BRICS karibu wote soko lao kubwa ni US, na partner wao mkubwa ni US.
Kwa umoja wao destination kubwa ya wananchi wao ni US.
China ni BRICS founder na India ni BRICS founder, lakini kati yao kuna sintofahamu, bifu na chuki. Undia wameongeza kodi kwa imports from China na wame ban some of their technology.
EAC ina solution zaidi kuliko BRICS.
Sawa nabiiBRICS haiji na sarafu yake na wala haitakuwa na sarafu yake hata kwa miaka 50 ijayo.
OPEC inahusiano Gani na Bric's???BRICS haitakuwa na nguvu kuishinda OPEC
Oh wengineo wote ndiyo wameshindiliwa humo kwenye +signSasa hivi wanajiita BRICS+
Kama yule mwingine waliyesema mwanae kakutwa na unga anatakiwa kunyongwa akajaa kwenye ungo usiku kwa usikuUnataka mama wa watu waanze kusema kauza nchi kwa wachina [emoji23][emoji23]
Ndiyo mkuuOh wengineo wote ndiyo wameshindiliwa humo kwenye +sign
🙏✍️Ndiyo mkuu
Mbona sijaona kama wanunuzi wakubwa wa hayo mafuta wanatoka humo BRICS+?
Sasa BRICS itakuwa na wanachama wenye sifa zifuatazo
● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.
Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.
Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.