HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hao watu wanajihangaisha tuMshirika mkubwa zaidi wa biashara wa China ni Marekani.
Top 5 ya washirika wa kibiashara wa Brazil baada ya China ni Marekani na nchi za Ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu wanajihangaisha tuMshirika mkubwa zaidi wa biashara wa China ni Marekani.
Top 5 ya washirika wa kibiashara wa Brazil baada ya China ni Marekani na nchi za Ulaya.
Ilikuwa ni 78% miaka ya nyuma kufikia mwaka 2021 imefikia 59% kulinganana ripoti ya IMFKinapungua kwa kiwango gani na ukilinganisha na sarafu zipi??
US Dollars katika foreign currency reserves zinazohifadhuwa na nchi mbalimbali duniani ni takribani 60% kwa sasa, inafuatiwa na Euro 20%, Yen ya Japan 6%, Paundi ya UK 5%, Yuan ya Mchina ni 3%
Je jina lao litabadilika akutokana na current name kuundwa na hizo nchi 5?View attachment 2727274
Sasa BRICS itakuwa na wanachama wenye sifa zifuatazo
●BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.
Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.
Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.
Yaani kama vile anaongea mchambuzi wa maswala ya kimataifa BBC, Professor BoazHii si habari njema kwa mataifa ya G7
Ikumbukwe kuwaweka pamoja Iran na Saudi Arabia hapo ni juhudi za China za kuyapatabisha mataifa hayo mawili wakati Marekani alitamani mataifa hayo yaendelee kuwa hasimu
Egypt na Ethiopia zimekuwa na msuguano kwenye bwawa la GERD kuyaleta pamoja mataifa hayo ni juhudi nzuri za BRICS
Kikubwa zaidi ni uwepo wa mataifa ya Africa inapendeza sana
Mchina anauza bidhaa zake China-based products. Kwa mujibu wa forecast za IMF wanasema kuwa kufikia 2040 mataifa makubwa kiuchumi yatakuwandani ya miaka miwili hadi mitano Ijayo, US atakua ameshamtengeneza India kiwa mbadala wa China
Anakaribishwa vizuri tu. BRICS+ hawana baya na mtu ndio maana hata Ethiopia naye ni mwanachamaIkitokea US naye akaomba kujiunga inabidi naye wamkubalie
Ni lini watanzania nao wataingia BRICS au wamekaa tu kama mafisi wanasubiri mkono udondoke waokote. Nchi hii ngumu sanaView attachment 2727274
Sasa BRICS itakuwa na wanachama wenye sifa zifuatazo
●BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani...
Kupungua kwa US Dollars reserve kunaifaidisha sarafu ipi? Halafu US $ reserve ikipungua unadhani madeni yenu mtalipa na nini na services na purchases mtafanya kwa currency gani?Unajua kuwa kiwango cha reserve ya US Dollars katika foreign currency reserves za mataifa mbalimbali duniani kinapungua
Unafikiri sababu ni nini?
Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.Ni lini watanzania nao wataingia BRICS au wamekaa tu kama mafisi wanasubiri mkono udondoke waokote. Nchi hii ngumu sana
Hivi mkuu hayo mataifa yaliyojiunga na wewe ni nani mwenye anajua faida ya huo muungano?India ni mmoja wapo na India inapewa nguvu kubwa na kiuchumi, technology, Intelligence na US.
Mbaya kuliko, Mexico, Argentine, Brasil hao kamwe na kamwe hawawezi kuwa kusimama upande mmoja na Russia na China na Waarabu
Sasa km vijana wenyewe ndiyo hawa wanaolawitiana, kusagana, kuvaa milegezo na vikuku miguumi unategemea wachangie nini positive. Wao muda wote wanawaza kunyanduana tu.Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Kiuchumi iko hivi kadiri mataifa yanapoamua kutumia sarafu zao kwenye international transactions au kuamua kutumia sarafu zingine ndivyo utegemezi wa US Dollar unapungua ndivyo na kwenye foreign reserves hupungua kwa sababu demand yake inashukaKinapungua kwa kiwango gani na ukilinganisha na sarafu zipi??
US Dollars katika foreign currency reserves zinazohifadhuwa na nchi mbalimbali duniani ni takribani 60% kwa sasa, inafuatiwa na Euro 20%, Yen ya Japan 6%, Paundi ya UK 5%, Yuan ya Mchina ni 3%
Kabla ya BRICS kulikuwepo na movement ya umoja wa ShanghaiHivi mkuu hayo mataifa yaliyojiunga na wewe ni nani mwenye anajua faida ya huo muungano?
Umekuwa mkosoaji wa hayo mataifa kwamba walikurupuka?
Ok Kwani hiyo EU na G7 si kuna mataifa yaliwahi kuwa maadui miaka hiyo na wakazichapa sana kwenye WWI na WWII mbona hatusikii mkisema hawawezi kusimama upande mmoja
Nikurekebishe kidogo Mexico sio member wa BRICS
Hatma ya hili taifa kwa kizazi tulicho nacho ni mbaya sana. Mungu saidia tuSasa km vijana wenyewe ndiyo hawa wanaolawitiana, kusagana, kuvaa milegezo na vikuku miguumi unategemea wachangie nini positive. Wao muda wote wanawaza kunyanduana tu.
Movement ya umoja wa Shanghai inahusianaje na huu uzi?Kabla ya BRICS kulikuwepo na movement ya umoja wa Shanghai
Hiyo 78% ni takwimu za miaka ya 1975 kurudi huko nyuma. Miaka 50 ambayo ni nusu karne mambo yalipaswa yawe yamebadilika kabisa, dola imesahaulika na kusiwepo tena na hii mijadala inayotokana na mihemko ya kuachana na matumizi ya US dollar.Ilikuwa ni 78% miaka ya nyuma kufikia mwaka 2021 imefikia 59% kulinganana ripoti ya IMF
Lakini imeanza kushuka kwa kasi miaka ya late 1990sHiyo 78% ni takwimu za miaka ya 1975 kurudi huko nyuma. Miaka 50 ambayo ni nusu karne mambo yalipaswa yawe yamebadilika kabisa, dola imesahaulika na kusiwepo tena na hii mijadala inayotokana na mihemko ya kuachana na matumizi ya US dollar.