SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Leta sababu tuone kama uko na hoja!BRICS haitakuwa na nguvu kuishinda OPEC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta sababu tuone kama uko na hoja!BRICS haitakuwa na nguvu kuishinda OPEC
Wabadilishe hilo jina sasa.
Kuna mambo mengi sana yanaoifanya dollar ya Marekani kutumika kama sarafu ya kimataifa, mojawapo muhimu ni soko huru la fedha na mitaji la Marekani lisiloingiliwa na serikali. Hizo sarafu nyingine kama za China, Urusi na Saudia serikali ina mikono mirefu sana kuzifanyia devaluation na revaluation.Nilimaanisha kwenye biashara ya mafuta kama vile ambavyo sasa hivi Russia na China; Russia na India wanatumia sarafu zao..
Kama BRICS wataendelea na juhudi zao kwa kasi hii, halafu US iamue kubweteka, yaani isifanye chochote kile, narudia tena, yaani isifanye chochote kile, basi, by 2050 Dollar itakua imeshaanguka.Ikiwa watatumia sarafu zao iwe ni wao wenyewe wanachama wa BRICS au na mataifa mengine yaliyoonyesha nia ya kujiunga na BRICS itaathiri dollar ya Marekani kwa sababu Mmarekani atajikuta amebaki na dollars ambazo hazipo kwenye mzunguko duniani
Na biashara ya mafuta ni mojawapo ya biashara inafanya dollar iwe na demand kubwa duniani
Kwa sasa wanajiita BRICS+ (BRICS plus)Wabadilishe hilo jina sasa.
Unajua kuwa kiwango cha reserve ya US Dollars katika foreign currency reserves za mataifa mbalimbali duniani kinapunguaKuna mambo mengi sana yanaoifanya dollar ya Marekani kutumika kama sarafu ya kimataifa, mojawapo muhimu ni soko huru la fedha na mitaji la Marekani lisiloingiliwa na serikali. Hizo sarafu nyingine kama za China, Urusi na Saudia serikali ina mikono mirefu sana kuzifanyia devaluation na revaluation.
Sababu nyingine kubwa ni udhibiti wa fedha na mitaji. Kuna sheria na vikwazo vingi sana kutoa au kuingiza viwango vikubwa vya Yuan halali huko China kwa sababu serikali ina mkono wa moja kwa moja katika masoko ya fedha na mitaji.
Kumbe mpaka USA waamue kubweteka... Unadhani watabweteka? Unadhani hawana watu wenye uwezo wakuangalia future ya dollar yao?Kama BRICS wataendelea na juhudi zao kwa kasi hii, halafu US iamue kubweteka, yaani isifanye chochote kile, narudia tena, yaani isifanye chochote kile, basi, by 2050 Dollar itakua imeshaanguka.
Ila bahati mbaya au nzuri tayri kinyume na matarajio yap wengi, by just this 2023, tayari US imebadili the Major trading partner na sasa Mexico ndiye Major trading partner nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na China.
Wakati huohuo, kasi ya matumizi ya nishati mbadala wa mafuta ikizidi kukua kwa kasi kote duniani.
BRICSers wao wanadhani US imejifungia ndani ikipiga mitungi na kuvuta shisha.Kumbe mpaka USA waamue kubweteka... Unadhani watabweteka? Unadhani hawana watu wenye uwezo wakuangalia future ya dollar yao?
Haijabadili ni vile China hawaku-import bidhaa nyingi kutoka Marekani kama MexicoKama BRICS wataendelea na juhudi zao kwa kasi hii, halafu US iamue kubweteka, yaani isifanye chochote kile, narudia tena, yaani isifanye chochote kile, basi, by 2050 Dollar itakua imeshaanguka.
Ila bahati mbaya au nzuri tayri kinyume na matarajio yap wengi, by just this 2023, tayari US imebadili the Major trading partner na sasa Mexico ndiye Major trading partner nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na China.
Wakati huohuo, kasi ya matumizi ya nishati mbadala wa mafuta ikizidi kukua kwa kasi kote duniani.
Haya mataifa yote 6 waitagemea US kwa kila kitu uchumi waoView attachment 2727274
Sasa BRICS itakuwa na wanachama wenye sifa zifuatazo
●BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.
Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.
Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.
Naamini bricks hawadhani hivyo. Ila wanachama wake wakwamtogole, kwatumbo, kwampalange, kwamama kibonge ndio wanaodhani USA ametulia tu anasubiri dollar yake iporomokeBRICSers wao wanadhani US imejifungia ndani ikipiga mitungi na kuvuta shisha.
Ingekuwa vizuri ikiwa ungesema wanaitegemea kivipi MarekaniHaya mataifa yote 6 waitagemea US kwa kila kitu uchumi wao
Kukukumbusha tu, tangu enzi za Trump, US ilishaanza kuhamisha viwanda vyake from China to Mexico na India na akapunguza vipao mbele vyake vingi kwa China.Haijabadili ni vile China hawaku-import bidhaa nyingi kutoka Marekani kama Mexico
BRICS hawana mpango wa kuishusha dollar ya Marekani. Taifa lolote linaweza kuwa mwanachama wa BRICS hata Marekani. Hiyo ni economic cooperationNaamini bricks hawadhani hivyo. Ila wanachama wake wakwamtogole, kwatumbo, kwampalange, kwamama kibonge ndio wanaodhani USA ametulia tu anasubiri dollar yake iporomoke
Kinapungua kwa kiwango gani na ukilinganisha na sarafu zipi??Unajua kuwa kiwango cha reserve ya US Dollars katika foreign currency reserves za mataifa mbalimbali duniani kinapungua
Unafikiri sababu ni nini?
Hayo ndio mawazo ya Urusi katika BRICSBRICS hawana mpango wa kuishusha dollar ya Marekani. Taifa lolote linaweza kuwa mwanachama wa BRICS hata Marekani. Hiyo ni economic cooperation
Sasa mbona bado Marekani ni importer mkubwa wa bidhaa za China? Katika trade partners wakubwa wa China, Marekani ndiye kinara.Kukukumbusha tu, tangu enzi za Trump, US ilishaanza kuhamisha viwanda vyake from China to Mexico na India na akapunguza vipao mbele vyake vingi kwa China.
Hiyo BRICS inaendelea sasa kwa kuwa ilisshaanza, ola imeanza kupata mwitikio wakati China kaanza kutikiswa, ndani ya miaka miwili hadi mitano Ijayo, US atakua ameshamtengeneza India kiwa mbadala wa China huku mataifa yanayozalisha mafuta nayo yakianza kupigania pumzi zao baada ya mahitaji ya bidhaa zao kupungua kwenye mbalimbali duniani.
Huu mchezo huchezwa na Werevu
Mnunuzi ndo ana nguvu kuliko mtengenezajiBRICS haitakuwa na nguvu kuishinda OPEC
Ikitokea US naye akaomba kujiunga inabidi naye wamkubalieView attachment 2727274
Sasa BRICS itakuwa na wanachama wenye sifa zifuatazo
●BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
●BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.
Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.
Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.