Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Masharti ya BRICS ambayo US atatakiwa kufuata ni yapi ??Baada ya kumiliki Nishati ya mafuta duniani, BRICS wanalenga kumiliki Dhahabu na Uranium hasa toka nchi za Africa. Madini kama Ntantalum na Cobalt nayo yanatafutwa kuingizwa katika BRICS. Hii inamaana kwamba hata US akitaka kuhamia kwenye Magari ya kuchaji Bado atatakiwa kufuata masharti ya BRICS