Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Kwa hio BRICKS waivunje?
Kwani male ho ys BRICKS ni kutokufanya biashara na NATO. Ni vizuri zaifi tungesoma malengo Ya BRICKS.
Hivi sisi goigoi tulieshindwa kila jambo tunaweza kuwabeza waliotuacha maili elfu?
Sisi tuwe waa galiaji tu pale wanaume wanapotunishiana misuli.
Niipongeze tu SA kuwepo kwenye waasisi wa jambo la kiume. Panya zimejificha ficha huko.
 
Nani kakwambia hizo nchi zote wanauza USA kuliko sehemu zingine? Weka data hapa Acha maneno
 
Mkuu na ww unaamini brics wako serious?[emoji16]
 
Mkuu na ww unaamini brics wako serious?[emoji16]
The Idea tu! achana na utekelezaji, nawapa 100.
Mchina hajawahi kosea karne hiii.
Wakati wewe unajiiliza, wenzio biashara zinafanyika bila DOLLAR.
MWAFRIKA hajawahi kujiamini, kwa hiyo ni sahihi wewe kukosa IMANI kwa sababu umo katka kundi la watu wasio jiamini.
Saudi Arabia hata kabla ya BRICKS alisha anza kuuziana mafuta na China bils Dollar, kwa hio wameisha anza kutekeleza kwa vitendo, nini kinifanye nisiwaaamini ?
Ingekuwa ni agenda ni ya AU ningekuwa sina Imani ila ni mataifa yanayojua nini maana ya kujitawala.
 
Huyo mbumbumbu hawezi kukuelewa sasa hivi ila baadae wataelewa.
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…