Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

Saudia wakikasirika kupitia mwana mfalme basi si lazima wapeleke jeshi kupigana na Israel ana kwa ana na kwa sasa hakuna haja ya kufanya hivyo kwani Israel mwenyewe yuko hoi ardhini.
Anachoweza kukifanya kwa ufanisi ni kuachia makundi kama yale yanafadhiliwa na Iran yapeleke nguvu kimya kimya na wakipiga serikali itasema haijafanya.
Saudi Arabia kwa Israel wana nguvu kubwa sana kuimaliza kwa muda mfupi kama watatumia mbinu hiyo kwani wapo karibu zaidi na Israel na wanamiliki rasilimali nyingi za kuzuia Israel isiendeleze kiburi chake.
Saudi Arabia hana uthubutu wa namna hiyo! Ufalme wake ulikuwa unalindwa na Uingereza na baada ya Uingereza kupoteza nguvu unalindwa na Marekani. Trump hili alishalizungumzia kwa uwazi ya kuwa; Amerika ikitoa mkono wake ufalme wa Saudia unapinduliwa. Kwa misingi hiyo Saudi Arabia kwa hali ya namna yoyote hawezi kumgeuka Israel au kumminya kwa namna yoyote ile. Mwenye uthubutu wa namna hiyo alikuwa mfalme Faisal.
 
Unafiki upo sana lakini kuna wakati unaweza kubadilika kwa kuchokozwa na kuoneshwa njia
Nchini nyingi za kiarabu zipo mikononi mwa Marekani ili falme zao zilindwe. Hivyo hawana uthubutu wa namna yoyote wa kujilinda wao wala falme zao. Wao wanachojua ni kulindwa.

Wachague watoke madarakani waundiwe mazengwe au wafuate matakwa ya bwana wao! Usitishwe na matamko yao!

Aliyehuru ni Yemen. Na ndiyo maana anafanya pasipo kuogopa.
 
Sheikh aliyekuwa na uthubutu wa kuzungumza haya ni Sheikh Abdul Aziz Al Tarifi. Ila ameshafumgwa yupo jela.
Misri na saudia hawana maana sio wakuwaamini
Misri ingekua na Muslim brother hood hapa sawa na saudia angekua feisal king hapa sawa
Ila hawa waliopo sasa wote viongozi wa west nandio maana mpaka leo Palestine inateseka
 
Nchini nyingi za kiarabu zipo mikononi mwa Marekani ili falme zao zilindwe. Hivyo hawana uthubutu wa namna yoyote wa kujilinda wao wala falme zao. Wao wanachojua ni kulindwa.

Wachague watoke madarakani waundiwe mazengwe au wafuate matakwa ya bwana wao! Usitishwe na matamko yao!

Aliyehuru ni Yemen. Na ndiyo maana anafanya pasipo kuogopa.
Kwanini basi katika siku za karibuni mwana mfalme amekuwa akienda kinyume sana na matakwa ya Marekani.
Yawezekana kuna vitu kaviona kuwa Marekani naye ana vitimbi katika ulinzi wake.Anataka apewe zaidi kuliko anachostahiki.
Saudi Arabia imeruhusu matumizi ya sarafu tofauti na dola katika kununua mafuta yao na vile vile imejiunga na BRICS bila kujtafuta ridhaa za US
 
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.

Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.

Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.

Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==

Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.

The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.

Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.

Yahoo News
Baada ya Izrael kugundua handaki lao la data walizokuwa wameweka kama center ya waarabu wote kupanga mipango ya kumpiga izrael walioificha chini ya ofisi za kimataifa Sasa ndio wansibuka na kupiga kelele? Mbona siku ile izrael ilipovamiws na watu kutekwa walikuwa wanachekea kichini chini?
 
Misri na saudia hawana maana sio wakuwaamini
Misri ingekua na Muslim brother hood hapa sawa na saudia angekua feisal king hapa sawa
Ila hawa waliopo sasa wote viongozi wa west nandio maana mpaka leo Palestine inateseka
Na mwarabu ana sifa kubwa ya unafiki!
 
Misri na saudia hawana maana sio wakuwaamini
Misri ingekua na Muslim brother hood hapa sawa na saudia angekua feisal king hapa sawa
Ila hawa waliopo sasa wote viongozi wa west nandio maana mpaka leo Palestine inateseka
Mimi nawajua sana hao kuwa wakiamua kuwasaidia Palestina ni wiki moja tu wako huru.
Pamoja na hivyo niko kati na kati.Napata tamaa iwapo Netanyahu ataonesha kiburi kama hiki anaweza akawa amecheza na kile kinachoitwa shilingi chooni kwani Saudia anaweza wakaibadilikia ghafla kama wanayofanya kwa US nayakti nyengine.
 
Binafsi sina imani na hao na hilo unalolisema
Ingawaje watu wanasema majambo hugeuka acha tuone
 
Baada ya Izrael kugundua handaki lao la data walizokuwa wameweka kama center ya waarabu wote kupanga mipango ya kumpiga izrael walioificha chini ya ofisi za kimataifa Sasa ndio wansibuka na kupiga kelele? Mbona siku ile izrael ilipovamiws na watu kutekwa walikuwa wanachekea kichini chini?
Hilo handaki unalijua zaidi wewe na IDF.halina athari yoyote katika mawazo ya waarabu.
Yaweza kuwa uongo na fitna tu na kama limepita karibu no ofisi za UN kwani Gaza kuna pahala ambapo ni mbali na ofisi hizo ?
Handaki huwa linajengwa kulingana na geology la eneo.Iwapo chini kuna mkondo wa maji kwanini wasipitishe karibu na ofisi za UN ilimradi wako chini kwa chini.
 
Baada ya Izrael kugundua handaki lao la data walizokuwa wameweka kama center ya waarabu wote kupanga mipango ya kumpiga izrael walioificha chini ya ofisi za kimataifa Sasa ndio wansibuka na kupiga kelele? Mbona siku ile izrael ilipovamiws na watu kutekwa walikuwa wanachekea kichini chini?
Israhell inatakiwa ifutwe ili kuwe na amani duniani
 
Siku izrael na marekani ikifutika duniani ( kitu ambacho hakiwezekani) dunia itaisha. Tutakuwa tunachinjwa na bwana madevu kisa tuu dini na Mila za kiarabu zifuatwe kwa lazima na Kila mtu.
 
Kama kuchinjwa papa kaishawachinja ikiwepo Americant na israhell na hamjafanya lolote
Ikifutika Americant na israhell ndio mtaokoka sio nyie tu mpaka huko papa alipowachinjwa kwa kutaka mubarikiane kutakua kumeokoka pia yaanu
 
Usijidanganye.
Ubinadamu unaweza kumbadilisha mtu na kuwa mtu mwengine ghafla pindi akiona ukweli fulani.
Mitaani kuna watu wanaonekana mabwege lakini siku ukiwachokoza ndipo utawajua walivyo mashujaa.
Nikwambie kitu?
Hilo jambo unaloliwazia la kuwatisha watanzania halitakaa litokee nchi hii.Mtakufa kwa sonona na masumu mnayomezeshana misikitini.Waislam wajanja wanapiga kazi kujiletea maendelea na tunashirikiana nao kijamii na kisiasa.Wenye msimamo kama wako ni wachache mno kitaa.Halafu mfumo wa nchi yetu ni madhubuti mno.Msijaribu!
 
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.

Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.

Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel. atasitisha normaliza
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.

Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==

Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.

The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.

Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.

Yahoo News
Israel anajua kabisa hao mbweha wote wa jangwani hawana uwezo kumfanya chochote, hata hivyo wameshajibu. Juzi mfalme wa saudia alisema anasitisha normalization ya ushirikiano na Israel, Israel wakasema haina shida na wao wanamwambia asahau kabisa kuwepo kwa state of Palestine, na jambo lingine pia litakalofuata. manake wanamwambia unamwaga mboga sisi tunamwaga ugali wote hata kwa mambo mengine ambayo hawajayataja. (though kwa siri, ni mambo ya kijeshi hasa kujilinda na Iran manake saudia muda wote huwa anajua yupo kwenye raddar za Iran na kuna siku Iran itamtwanga).
 
Back
Top Bottom