Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.

Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.

Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.

Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==

Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.

The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.

Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.

Yahoo News
Nonsense
 
Magaidi wachapwe tu. Hizo nchi zipokee wakimbizi kama zinaubavu. Inashangaza Wakimbizi wa Palestina wako Europe wakati kuna mataifa tajiri jirani.
 
Gaza inapendexa

God Bless Israel 🇮🇱
Gaza ilikuwa Kila eneo magorofa tu hamna eneo la wazi la viwanja vya wazi watu kucheza nk Sasa hivi viwanja viko kibao basdabya magorofa kutelemshwa na kusawazishwa na magreda ya Israel

Vita ikiisha wapalestina watakuwa na viwanja kibao vya michezo
 
Kinachofurahaisha ni kuwa watu wanaanza kurudi majumbani mwao pole pole chini ya utawala ule ule wa Hamas.
 
Hamna Hamas Tena Israel watakabidhi Hilo eneo Kwa Raisi Mahamoud Abbas wa Palestina sio Hamas.Raisi wa Palestina yupo hiyo migaidi ya Hamas ilitwaa Hilo eneo Kwa nguvu na kusimika utawala wake
 
Watajaribu kufanya hivyo baada ya kushindwa mbinu ya kuwahamishia Sinai.Na sijui kama wamebakiwa na nguvu ya kusimamia uhamishaji wa madaraka hayo na kufanikiwa kwani Israel iko chini sana kiuchumi na yule mfadhili wake naye halkadhalika.
Ndio maana itabidi akubali kuundwa taifa huru la wapalestina na hayo yatakuwa matunda ya juhudi za Hamas ambao Mahmoud Abbas na genge lake hatokuwa na uwezo wa kuwazuia kuendesha hiyo serikali itakayoundwa.
 
Wapalestina hasa wa Gaza ni wasiojielewa.Israel walishaapa hakuna nchi mbili ila majimbo ruksa

Na tayari majimbo yapo yenye mamlaka kamili kama ilivyo marekani.

Hilo la nchi mbili sahau sababu kuu ni kuwa huwezi chukua maeneo ya kihistoria matakatifu Kwa wayahudi yaliyoko Palestina ukayakabidhi nchi nyingine nje ya Israel haiwezekani
Ndio maana ni ngumu kuwa nchi mbili pale
 
Na nani atakayekubali kuchukua maeneo matakatifu ya waislamu ambaye yemetajwa katika Qur'an yachukuliwe na mayahudi.
Iwapo hawawezi kuishi na wenzao vizuri na wao watasumbuka sana
 
Sasa hivi wanayo Yako Yako Chini ya Palestina.Dini ya kiyahudi ilianza kabla ya Uislamu ,Uislamu ndio baadaye ulijenga hayo maeneo ya wayahudi yalishaluwepo siku nyingi kabla huyo Mohamed hajazaliwa Wala kuwaza kuzaliwa
 
Kipi cha ajabu kilichokuwepo kabla ya kuzaliwa Muhammad s.a.w.
Kila utakachokitaja basi hakitajwi kuwa ni cha wayahudi bali ni cha waislamu kwani vitu hivyo vya maajabu ni kutoka kwa Allah s.w na hajawahi kutuma mtume ambaye si muislamu.
Muhammad siye muanzilishi wa uislamu.Yeye ni mfufuaji wa mafunzo halisi na aliyehitimisha yale yaliyokuwa yakitekelezwa na watangulizi wake akina Mussa a.s na Yesu a.s
Uyahudi wanamtaja sana Musa a.s ambaye ni mtume wa Allah aliyekuwa na miujiza mikubwa.Mayahudi watu waliolaaniwa ndio waliomkana.
 
Kipi cha ajabu kilichokuwepo kabla ya kuzaliwa Muhammad s.a.w.
Kila utakachokitaja basi hakitajwi kuwa ni cha wayahudi bali ni cha waislamu kwani vitu hivyo vya maajabu ni kutoka kwa Allah s.w na hajawahi kutuma mtume ambay si muislamu.
Uyahudi wanamtaja sana Musa a.s ambaye ni mtume wa Allah aliyekuwa na miujiza mikubwa.Mayahudi watu waliolaaniwa ndio waliomkana.
Uislamu ulikuja na Mohamed kabla haukuwepo Wala hiyo Kuruani haukuwepo hizo zingine porojo tu

Mohamed Hakusoma alikuwa akisafiri kibiashara akakutana na Wayahudi wakawa wanamsimulia habari za dini Yao ndio akawa anakariri ndio mwanzilishi wa kukariri kwenye Uislamu Hicho mnachoita kuhifadhi Kuruani Sasa Yale alikuwa kariri kariri ya akina Ibrahim na akina Musa nk akayaweka kwenye Kuruani na kuanza kudai hao walikuwa Waislamu ili ajipe ujiko naye dini yake ionekane ya zamani wakati sio Uislamu mwanzilishi Mohamed full stop hayo mengine kayaweka kwenye kuruani ni porojo tu
 
Unayo taarifa kuwa binadamu wa mwanzo ambaye ndiye baba yetu sote A.s ni muislamu na kabla yake kila kilichokuwepo kilikuwa ni kiislamu.
Yule aliyekaririwa alipaswa awe na habari za ndani kuhusu hilo jambo kuliko aliyekariri.Mbona kwenye Qur'an kuna miujiza ambayo hakuna kwenye kitabu chochote kingine.
Vitabu vyenu hivyo mnavyodai ni vitakatifu hata umuhimu wa kunawa mikono haumo mpaka mumeelewa wakati wa corona
 
Magaidi wachapwe tu. Hizo nchi zipokee wakimbizi kama zinaubavu. Inashangaza Wakimbizi wa Palestina wako Europe wakati kuna mataifa tajiri jirani.
Hakuna mkimbizi atakae pokewa poleni sana wazayuni wa jf
 
Hamna Hamas Tena Israel watakabidhi Hilo eneo Kwa Raisi Mahamoud Abbas wa Palestina sio Hamas.Raisi wa Palestina yupo hiyo migaidi ya Hamas ilitwaa Hilo eneo Kwa nguvu na kusimika utawala wake
Mazayuni magaidi wameshindwa kupambana na wanaume wa hamas shida wanabarikiwa ndii tatizo
 
Back
Top Bottom