Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

Israsl imesema asiyetaka vita rafa anaiunga mkono hamas na si,wapalestina, ataendelea na operation zake rafa na jana jumapili kaokoa mateka wawili huko. Hii inamaanisha wanaopiga kelele kuhusu rafa kupigwa wanajua hapo nipo lilipo sehemu kubwa ya genge hilo. Walijua hawatajulikana sasa wamejulikana,. Nilisema hii vita mshindi atapatikana kwa kulipa gharama kubwa. N8wape siri tu ni kuwa gaza itakaliwa na israel na hamasi watalipa gharama za vita. Subirini
 
ni tamaa kama za fisi.Kinyume chake kwa uwezo wa Allah ndicho kitakachotokea.
Israel itashindwa na Hamas wataendelea kuongoza Gaza na hatimae Palestina yote.
 
Hakuna waarabu wanafiki kama Saudia, Misri, Jordan na UAE linapokuja suala la Israel dhidi ya Palestina, wale wanashirikiana na Israel kuua wapalestina
 
Hakuna waarabu wanafiki kama Saudia, Misri, Jordan na UAE linapokuja suala la Israel dhidi ya Palestina, wale wanashirikiana na Israel kuua wapalestina
Kipigo chao hakitotoka kwa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…