Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

Alitaka aitawale dunia na aiendeshe kama kwamba yeye ndiye aliyeiumba,
Kiwango cha juu cha kibri chake alitangaza New world order.Ni mwaka sasa imepotea masikioni mwa walimwenguj.
Akili zako bana
 
Huwezi kuwa watchdog wa dunia, kila vita unaiingilia na kufadhili wadhalimu kwa maslahi yako binafsi, utafilisika na utapigwa tu!
Leo hii shoga marekani na washiriki wake wametangaza kustop kuisaidia Ukraine, means hali ya kiuchumi tayari chini, huko israel napo inalegalega, Afghanistan alipokea kichapo, Syria ameaibishwa, huku anapelekewa moto baharini na Houths. Piga marekani mbwa hao
Endelea kuota mchana
 
Biden iko kitu ndicho anachokitaka,lengo kuu ni kuivuruga dunia mpaka ikija kutulia america iwe imesimama hapa ilipo na zile zinazoikimbuza kwa kasi ziporomoke,vita za kimkakati hizi
Wenye akili wanalijua hilo,hawataingia kichwa kichwa.

Unakumbuka China walivyojazwa upepo na marekani ili avamie taiwan? Mchina akang'amua. Watu sahizi Wana deal na marekani kwa kutumia akili tu.
 
Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu.

Wakati huo huo taifa hilo mashuhuri kwa kusafirisha mafuta duniani limesisitiza juu ya haja ya kusitishwa vita vinavyoendelea Gaza mara moja.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyonukuu onyo hilo,hofu ya Saudi Arabia ni kuwa kujiingiza kwenye vita hivyo kunaweza kukavisambaza vita vya Palestina na Israel kwa eneo lote la mashariki ya kati na kwa haraka sana.

Saudi Arabia inaelewa sana ushujaa wa wapiganaji wa Houth ambao wao hawakuweza kuumaliza kwa njia ya vita juu ya kumilika silaha kali dhidi yao.

Mara kadhaa droni za Houth na makombora mengine viliwahi kupiga maeneo muhimu ya kiuchumi ya Saudi Arabia pamoja na viwanja vya ndege vya kimataifa kitu ambacho hakikuzoeleka huko Saudi Arabia kwa miongo kadhaa.

Hatimae Saudi Arabia ilitiliana saini na watawala hao wa Yemen kusitisha vita na kurudisha udugu wao.

Exclusive-On edge over Red Sea attacks, Riyadh seeks to contain fall-out

Hawa Saudi Arabia si tumeambiwa ni marafiki na Israel na US!!
 
Sio ndoto .Marekani atapigwa na watu maskini na wala si mataifa makubwa kama Urusi na China.
Mapigo ya mataifa madogo ni kunyofoa nyofoa nyama za Marekani na kumuachia madonda.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Marekani anazidi kuzongwa na uzito na matatizo aliyokuwa akijitwisha kwa miaka mingi.
Aliachia Afghanistan na Iraq akabeba ya Ukraine.Anatua ya Ukraine anabeba aya Israel nayo inaanza kumpwaya.
Ila ndoto zako nzuri sana aisee
 
Back
Top Bottom