Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

Yemen hajawahi shindwa vita na nchi yoyote ile duniani, ndio sababu America meli yake imepigwa hajarudisha kajidai Italipa kwa time atakayo ona nzuri 😄 Muingereza meli yake imepigwa kanyamaza kimyaa, Israel vile vile wanamfahamu Myemen hao wamezaliwa wanaona silaha 😄

Saud Arabia anaogopa Yemen asiwapige sababu kuna base za Ametica pale ndio sababu analalamika kujidai anampa warning America
 
Yemen hajawahi shindwa vita na nchi yoyote ile duniani, ndio sababu America meli yake imepigwa hajarudisha kajidai Italian kwa time atakayo ona nzuri [emoji1] Muingereza meli yake imepigwa kanyamaza kimyaa, Israel vile vile wanamfahamu Myemen hao wamezaliwa wanaona silaha [emoji1]

Saud Arabia anaogopa Yemen asiwapige sababu kuna base za Ametica pale ndio sababu analalamika kujidai anampa warning America
Kichwa maji
 
Yemen hajawahi shindwa vita na nchi yoyote ile duniani, ndio sababu America meli yake imepigwa hajarudisha kajidai Italipa kwa time atakayo ona nzuri [emoji1] Muingereza meli yake imepigwa kanyamaza kimyaa, Israel vile vile wanamfahamu Myemen hao wamezaliwa wanaona silaha [emoji1]

Hivi haya maneno unayaandika ukiwa umelala nini?
 
Yemen hajawahi shindwa vita na nchi yoyote ile duniani, ndio sababu America meli yake imepigwa hajarudisha kajidai Italipa kwa time atakayo ona nzuri [emoji1] Muingereza meli yake imepigwa kanyamaza kimyaa, Israel vile vile wanamfahamu Myemen hao wamezaliwa wanaona silaha [emoji1]

Saud Arabia anaogopa Yemen asiwapige sababu kuna base za Ametica pale ndio sababu analalamika kujidai anampa warning America
Mtu akiwasikiliza anaweza dhani nchi za kiarabu n kiislam ni masuper power kijeshi.Design ya enzi za zamani tunasililiza mpira radioni
 
Mimi nakuambia Yemen ni moto wa kuotea mbali, haijawahi shindwa vita waulize waingereza, wa turkey na msaudia jana hio Israel kapokea kichapo takatifu toka Yemen na Israel kakiri Yemen kaitoa Elite kwenye kuhudumia Israel hasa mambo ya bandari na Meli za mizigo na akisubutu kurudisha ataona nyota kwenye bahari sio kwenye mbingu 😄

View: https://youtu.be/El5Nt_LTLCE?si=r9s24OFX238aUwCj

Sa we mwafrica unaubora gani kuliko mwarabu? Si bora mwarabu anatoa mafuta tu, na anainvest kila sehemu, we mwafrica nchi ina kila nema na bado unaenda omba kwa warabu na wazungu 😄
 
Waarab wenye nguvu zao wamepata akili sasa hao wakiingia ujue vita ya3 hiyo
 
Jews,christians na Muslims walikua wanaishi kwa amani sana huko palestine mpk pale mazayuni yalipokuja amani ikapotea
 
Back
Top Bottom