Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

Alitaka aitawale dunia na aiendeshe kama kwamba yeye ndiye aliyeiumba,
Kiwango cha juu cha kibri chake alitangaza New world order.Ni mwaka sasa imepotea masikioni mwa walimwenguj.
Akili zako bana
 
Endelea kuota mchana
 
Biden iko kitu ndicho anachokitaka,lengo kuu ni kuivuruga dunia mpaka ikija kutulia america iwe imesimama hapa ilipo na zile zinazoikimbuza kwa kasi ziporomoke,vita za kimkakati hizi
Wenye akili wanalijua hilo,hawataingia kichwa kichwa.

Unakumbuka China walivyojazwa upepo na marekani ili avamie taiwan? Mchina akang'amua. Watu sahizi Wana deal na marekani kwa kutumia akili tu.
 
Hawa Saudi Arabia si tumeambiwa ni marafiki na Israel na US!!
 
Sio ndoto .Marekani atapigwa na watu maskini na wala si mataifa makubwa kama Urusi na China.
Mapigo ya mataifa madogo ni kunyofoa nyofoa nyama za Marekani na kumuachia madonda.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Marekani anazidi kuzongwa na uzito na matatizo aliyokuwa akijitwisha kwa miaka mingi.
Aliachia Afghanistan na Iraq akabeba ya Ukraine.Anatua ya Ukraine anabeba aya Israel nayo inaanza kumpwaya.
Ila ndoto zako nzuri sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…