Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

Kaka mpumzishe Huyo jamaa usije kumuua kwa presha😂😂😂Huyo ni kichwa ngumu Sana na ana matango pori aliyokaririshwa sijui Kama anajua kuwa yupo wrong physically and mentally
Acha kumpa moyo mbusu jiwe mwenzako 😂🤣🤣

Nimemuuliza kinachosherekea ni nini hataki kujibu


Kumbuka wewe muislamu unatumia kalenda ya wakrito na hakuna unaweza fanya
 
Acha kumpa moyo mbusu jiwe mwenzako 😂🤣🤣

Nimemuuliza kinachosherekea ni nini hataki kujibu


Kumbuka wewe muislamu unatumia kalenda ya wakrito na hakuna unaweza fanya
Tafuta historia ya kalenda na aljebra ...ndio maana tunakuambia umemezeshwa sumu kavu
 
Kwenye hili la kufunga, mimi huwa sielewi jambo. Najua kufunga ni moja ya ibada muhimu akatika nguzo za dini ya Kiislamu. Ila jambo ambalo silielewi na nadhani huenda itanichukua muda mrefu kupata uelewa, ni suala la mtu kufunga, ila anakasirishwa na mtu anayekula mbele yake. Mimi nikila mbele yako, navuruga vipi ibada ya mtu!!!!!!
Hii Ina maana wanafunga huku wanatamani msosi, mm ninachojua kufunga ni kupunguza kula sasa mtu unaamka asbh tumbo limejaa msosi uliokula saa 10 alfajir then unasema umefunga? Kwanza ktk hicho kipindi demand ya chakula inakuwa juu sasa utasemaje watu wanafunga?
 
Mbusu jiwe nimekukimbia wapi?
Mbupu katoto ka miaka 7 😂😂😂 lizee jinga Sana lile
Hapa ndipo ninapocheka, yaani Mungu alibariki huu ujinga? Ndiyo maana watu wanasema hata Zumaridi Yuko sahihi kuwa alionana na Mungu (kama mtenda hiki kitendo aliweza kuongea na Mungu na akapewa maagizo, kwa nn tunakataa ya Zumaridi?)
 
💡Kwa kuwa Al Kaaba Ipo huko.

💡Kwa kuwa dunia nzima huenda huko kutimiza nguzo baada ya kulizunguka jiwe hilo.

💡 Kwa kuwa tukifia huko wakati wa kufanya ibada hiyo ni peponi Moja kwa Moja.

💡 Kwa kuwa hata kwenye ibada tunaangalia kibla ambayo ni uelekeo wa Kaaba iliyopo Saud Arabia.

💡Kwa kuwa hata tukifia tunazikwa kichwa uelekeo wa Saud Arabia

💡 Basi Amri hiyo ni kwa dunia nzima maana wao wapo karibu sana na Mungu, wanapokea maelekezo kutoka mbinguni na kuwapa wafuasi tunafanya Kila kitu kuelekea kwao
😳 Ah, mkuu hayo ni mambo makubwa sana hayo !
 
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.

Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila kibali, matangazo ya sala na iftari misikitini.

Waziri wa masuala ya Kiislamu nchini Saudia Dr. Abdullatif Al Alsheikh alitoa waraka kwenda matawi yote ya wizara ya haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wizara kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Aidha kuanzia mwaka huu 2023 sheria mpya ni pamoja na kupiga marufuku michango ya misikiti na marufuku ya milo ya futari baada ya jua kuchomoza misikitini.

Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.

Sheria hiyo mpya ni pamoja na kutorefusha maombi kushikamana na dua fulani. Inapendekezwa pia kusoma vitabu vya kusaidia kuhusu kikundi cha msikiti.

Iwapo kamera zitatumika msikitini, zisitumike kupiga picha za imamu au waabudu wakati wa swala.

Maombi hayapaswi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.


========

Wakina Tomaso mnaweza kusoma hapa moja kwa moja kutoka Saudia 👇🏾.

New rules in Mecca: Muslims get upset as there’ll be no prayer call, iftar
Hadith mpya imewekwa
 
Back
Top Bottom